iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I did it purposely, though my English is not that perfect but not as bad as what I've written before. Glad you noticed. Ngoja nirudi sasa kwenye lugha yetu pendwa ambayo haikuja na meli. Hivi mada ilikuwa inahusu nini vile maana naona imeshaunganishwa kwenye uzi mwingine ?Duh kazi ipo. Kingereza kilikuja na meli mkuu we andika kiswahili tu
Hayo siyo ya kuwasumbua US kwa afrika na middle East. Huku ni mauaji na kwa taarifa yako usidhani US inakujali saaana!Mambo mbona mengi.
Wa2 wasiojulikana, kuzuia mikutano ya siasa, kukamatwa idris sultan, kujifanya wewe ndo sheria nk.
Pompeo CIA yule. Wanaweza kukupa profile ya unachofanya kila siku, simu zako, internet nk. Ukiambiwa wana "credible evidence" uelewe mambo makubwa!!!
Samahan lakini nimeingia kimatumbi!!!
Tatizo siyo kutokana na ombi la Zitto, ni kihelehele chake kujionesha kwamba yeye ndo kaomba hivyo. Mwenzako anataka sifa zimwendee, wewe unamuondolea sifa anayoitaka.Weka hapa tamko la Marekani likitoa sababu uzisemazo, usilete mambo ya bunge la CCM kufanya kazi tuhuma za mtandaoni badala ya kuwasilisha kauli ya WB ikisema imeamua kutokana na ombi la Zitto.
Asante mabeberu kilio chetu mmekisikia.
uzuri USA sio wanachama wa ICC hivyo hamna cha kumfanya sanasana watamzuia kuingia marekani na ndicho walichofanya, makonda kaenda marekani mara mbili tu tena kaenda kwenye matibabu ya mke wake, haya wamemzuia na mke wake yeye anakosa gani? mkewe hajawahi kuwa hata mtendaji wa mtaa anakosa gani?Wamesema wana credible evidence/information. Don't underestimate the power of udunguaji. Kama DAB na wenzie wanadhani wanaweza kudukua private call za akina Kinana, wajue kuna watabe zaidi yao
Hivi sheria ya vuama vingi inasema mikutano ya hadhara ni wakati tu wa kampeni? Kwamba America nao wanavunja haki za binadamu kwa hiyo wasitwambie kitu - two wrongs don't make a right!Marekani ndio nani kwanza na kwa utakatifu gani alio nao kwa kuziamulia nchi mbali mbali Duniani zenye misingi yao personal? Eti tuheshimu utawala wa sheria na haki za binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika. Kwa utakatifu gani walio nao?
Serikali inazuia mikusanyiko ya vyama vya siasa wakati usio kuwa wa campaign ili kuzuia uvunjifu wa amani nchini, leo hii Marekani anakurupuka anataka mikusanyiko iwepo hata kama haijaruhusiwa na sio kipindi cha campaign na amani ikivunjika nchini mambo yakiharibika nchini hawa jamaa hamto wasikia kokote wakituimbia suala la amani zaidi ya kutucheka,
Na mpango wao wa NWO wanataka wawe na say juu ya taifa lolote ili wapate nguvu ya kuitawala Dunia kirahisi,
Huyu mmarekani muovu kabisa huyu, hawezi akaja kukuimbia wimbo wa haki za binanamu kakujulia wapi na kwa utakatifu gani alio nao, asilimia 100% ya maamuzi ya hawa jamaa juu ya taifa lolote Duniani ni kwa lengo la kubomoa sio kujenga, hata kama mtaona faida mwanzoni baada ya kuyatekeleza maagizo yao mwishoni ni hasara,
Namuombea maisha marefu na afya Rais wetu Dk. John Pombe Magufuli ni mwamba, hata kama wakituzuia kwenda huko kwao Marekani kwani Marekani ni Mbinguni? Wapuuzi tu hawa,
Wajaribu kupiga mapambio waone Kama hawatapigwa ban kukanyaga hats Kenya, washenzi hao.CIA wameshamaliza kazi yao. Walipozuia vyombo vya usalama vichunguze mauwaji wakajiona wajanja Wapinzania tulipigania vije nchini vyombo huru vyenye weledi mkubwa ktk maswala ya upelelezi akina Lusinde na Msukuma wakapiga mapambio yao.
Hawakujua....hawakujua CIA hawasubiri kupewa ruhusa kuingia nchini mwako pale inapobidi sasa naona Makonda amebaki peke yake. Waimbaji wote wamekimbia.
Kwa hiyo unamtetea muuaji siyo!!!?Hatuna cha kupoteza eti kwa kumzuia RC Makonda kwenda Marekani. Kwanza wajiulize tangu Rais wetu John Pombe Magufuli aingie madarakani alishawahi kwenda ubarozi wa Marekani nchini kuomba Viza ya kuingia Marekani? Ukweli ni kwamba hajawahi kwahiyo RC Makonda aende Marekani kutafuta nini ambacho bosi wake haoni haja?
Wala sio issue ya mashoga acheni kumdanganya mwenzenuMashoga wamemponza RC wetu
Wampige ban Pompeo asikanyage Tanzania.Basi na nyie wawekeeni vikwazo. Lakini pia angalia USA hawakuficha juu ya hilo. Basi Makonda nae aweke wazi nani kamnyima haki ya kuishi.
Na usisahau kwa Makonda ni jambo linalohusu Watanzania wenzetu
Haaaaaaaaaaaaaa hivi kule Afghanistan na Iraq wao wanaua Nguruwe. Ujinga mtupu semeni tu kuwa anapeleka Information zenu sehemu inayowaumiza.View attachment 1342730
View attachment 1342925
Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu.
Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa kujieleza na kukusanyika na matendo maovu dhidi ya makundi maalum.
Marekani ina hofu kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu na kupuuzwa kwa utawala wa sheria nchini Tanzania.
Kifungu namba 7031(c) kinampa uwezo Waziri wa Mambo ya nje kuweka zuio kama hili endapo mhusika amefanya ufisadi mkubwa au uvunjifu wa Haki za Binadamu. Pia kinamruhusu kuweka zuio kwa familia yake hivyo mke wa Makonda, Bi. Mary Felix Massenge amezuiwa pia.
Serikali ya Marekani inaikumbusha Serikali ya Tanzania kuheshimu utawala wa Sheria na Haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kukusanyika.
==========
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons. Specifically, the Department has credible information that Makonda was involved in such violations in his capacity as the Regional Commissioner of Dar es Salaam. In that role, he has also been implicated in oppression of the political opposition, crackdowns on freedom of expression and association, and the targeting of marginalized individuals.
The United States remains deeply concerned over deteriorating respect for human rights and rule of law in Tanzania. This includes actions taken by the government that curtail freedom of expression, freedom of association, and right of peaceful assembly; target marginalized people and the political opposition; and jeopardize life.
Section 7031(c) provides that, in cases where the Secretary of State has credible information that foreign officials have been involved in significant corruption or a gross violation of human rights, those individuals and their immediate family members are ineligible for entry into the United States. The law also requires the Secretary of State to publicly or privately designate such officials and their immediate family members. In addition to the public designation of Paul Christian Makonda, the Department is also publicly designating his spouse, Mary Felix Massenge.
These actions against Paul Christian Makonda underscore our concern with human rights violations and abuses in Tanzania, as well as our support for accountability for those who engage in such violations and abuses. We call on the Tanzanian government to respect human rights and fundamental freedoms, including the freedom of expression, association, and the right of peaceful assembly.
SOURCE: Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of Paul Christian Makonda of Tanzania - United States Department of State
You are very right... huyu jamaa kiherehere sana aonekane ni kwa sababu yake..opportunistic sanaTatizo siyo kutokana na ombi la Zitto, ni kihelehele chake kujionesha kwamba yeye ndo kaomba hivyo. Mwenzako anataka sifa zimwendee, wewe unamuondolea sifa anayoitaka.
Kwenye statement ushoga upo na hata gazeti la New York Post wameandika! Kuhusu kwenye uhalifu dhidi ya binadamu mbona Makonda siyo mtendaji wa vyombo vya usalama wala hana mamlaka ya maamuzi?Issue sio ushoga,nadhani wako very clear kwenye statement yao!Uhalifu dhidi ya binadamu ndio issue hapa!
Ninyi mnaosema ushoga mmetoa wapi?
Mithali 24:6 Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usijekuwa sawa na yeye...Mimi nacheka tu sichukii lugha zako za kejeli na dharau kwenye majadiliano.
Nimeshavuka kiwango hicho cha ukomavu na fikra.
Kwa kukujulisha tu sasa mimi nasoma falsafa za Stoicism na ni mfuasi mtiifu wa hiyo falsafa, huwezi kunivunja moyo mentally, you have to do more than these simple insults.
My wisdom is above and far beyond your comprehension, you can never break me mentally, never in your life time.
Nakushauri tu 'mdogo wangu kifikra' kafuatilie Stoicism ndio nini, na stoics ndio nani kisha utajua unajaribu kupambana na nani kisaikolojia.
Kama haujatosheka na matusi au kejeli ongeza kunitusi, ikilazimu nitukane na matusi ya nguoni au wazazi wangu ufurahi, lakini mimi sitaacha kutoa mawazo yangu hapa JF na popote. Ukiona unaumizwa na mawazo yangu jifanye hujaona au endelea kurusha matusi bila hoja.
Mimi huwa simpendi huyu Makonda.Ila kama wameamua kumzuia kwa sababu ya ile issue ya mashoga,Mimi nipo pamoja naye.Wabaki na nchi lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo na yeye alikuwa anawanyima hali ya kuishi wananchi wakeMbona USA ilimnyima haki ya kuishi yule jenerali wa IRANI?Tusiwe kasuku