Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Duh kazi ipo. Kingereza kilikuja na meli mkuu we andika kiswahili tu
I did it purposely, though my English is not that perfect but not as bad as what I've written before. Glad you noticed. Ngoja nirudi sasa kwenye lugha yetu pendwa ambayo haikuja na meli. Hivi mada ilikuwa inahusu nini vile maana naona imeshaunganishwa kwenye uzi mwingine ?
 
Hayo siyo ya kuwasumbua US kwa afrika na middle East. Huku ni mauaji na kwa taarifa yako usidhani US inakujali saaana!
 
Weka hapa tamko la Marekani likitoa sababu uzisemazo, usilete mambo ya bunge la CCM kufanya kazi tuhuma za mtandaoni badala ya kuwasilisha kauli ya WB ikisema imeamua kutokana na ombi la Zitto.
Tatizo siyo kutokana na ombi la Zitto, ni kihelehele chake kujionesha kwamba yeye ndo kaomba hivyo. Mwenzako anataka sifa zimwendee, wewe unamuondolea sifa anayoitaka.
 
Wamesema wana credible evidence/information. Don't underestimate the power of udunguaji. Kama DAB na wenzie wanadhani wanaweza kudukua private call za akina Kinana, wajue kuna watabe zaidi yao
uzuri USA sio wanachama wa ICC hivyo hamna cha kumfanya sanasana watamzuia kuingia marekani na ndicho walichofanya, makonda kaenda marekani mara mbili tu tena kaenda kwenye matibabu ya mke wake, haya wamemzuia na mke wake yeye anakosa gani? mkewe hajawahi kuwa hata mtendaji wa mtaa anakosa gani?
 
Hivi sheria ya vuama vingi inasema mikutano ya hadhara ni wakati tu wa kampeni? Kwamba America nao wanavunja haki za binadamu kwa hiyo wasitwambie kitu - two wrongs don't make a right!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajaribu kupiga mapambio waone Kama hawatapigwa ban kukanyaga hats Kenya, washenzi hao.
 
Kwa hiyo unamtetea muuaji siyo!!!?
 
Basi na nyie wawekeeni vikwazo. Lakini pia angalia USA hawakuficha juu ya hilo. Basi Makonda nae aweke wazi nani kamnyima haki ya kuishi.

Na usisahau kwa Makonda ni jambo linalohusu Watanzania wenzetu
Wampige ban Pompeo asikanyage Tanzania.

Serengeti awe anaisikia kwenye redio tu.

Kilimanjaro aione kwenye TV tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watanzania ni wapumbavu sana wanafikiri Mzungu anaweza kuwa saidia burebure bila maslahi yake kuweka mbele, wanshindwa kujifunza ktk nchi ambazo Mmarekani emejitokeza kuwa saidia jinsi wanakipata cha moto.Mnacho kitafuta kwa
Mzungu mtakipata naona huu uhuru mlio nao amuhoni kama una samani kiasi gani kwa kudhani mzungu ndiyo atawaleteni manufaa zaidi, ndiyo hapo mtakapo kuja kulia na kusaga meno.This time mzungu atawanyonya hadi kinyesi kuliko enzi za ukoloni


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Haaaaaaaaaaaaaa hivi kule Afghanistan na Iraq wao wanaua Nguruwe. Ujinga mtupu semeni tu kuwa anapeleka Information zenu sehemu inayowaumiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo siyo kutokana na ombi la Zitto, ni kihelehele chake kujionesha kwamba yeye ndo kaomba hivyo. Mwenzako anataka sifa zimwendee, wewe unamuondolea sifa anayoitaka.
You are very right... huyu jamaa kiherehere sana aonekane ni kwa sababu yake..opportunistic sana
 
Issue sio ushoga,nadhani wako very clear kwenye statement yao!Uhalifu dhidi ya binadamu ndio issue hapa!
Ninyi mnaosema ushoga mmetoa wapi?
Kwenye statement ushoga upo na hata gazeti la New York Post wameandika! Kuhusu kwenye uhalifu dhidi ya binadamu mbona Makonda siyo mtendaji wa vyombo vya usalama wala hana mamlaka ya maamuzi?
 
Mithali 24:6 Usimjibu mpumbavu kadri ya upumbavu wake usijekuwa sawa na yeye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…