Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Ni dhahiri kwamba Makonda binafsi hana uwezo wowote wa kufanya chochote kwa mtu yeyote , body structure yake haionyeshi uwezo wowote wa mwili wake kupambana na yeyote , ni mtu wa kawaida sana , hana ubavu wa kutenda uhalifu aliotajwa kuhusika nao wa kudidimiza demokrasia ama labda kuzima uhai wa yeyote .

Sasa napenda kujua , Je alipokuwa anatekeleza unyama wake huu alishirikiana na akina nani , ni kikundi chake cha kihalifu ama ni idara ya serikali , kwa maana ya Polisi , Tiss ama JW ?

Natanguliza shukrani
 
Usihusishe Majeshi yetu na ujinga wa wakina magufuli na makonda majeshi yetu yatabaki kuwa yetu wao wanapita tu ujinga waliofanya wawajibike wao kama wao majeshi utii kiapo cha amri tu.
kuuliza si ujinga .
 
mtoto wa nyoka ni nyoka hivyo anafanya yote kwa mfano au msaada wa baba ake
 
Kwani wale aliovamia nao Clouds walikuwa kina nani?maana walikuwa na machine nzito!
 
Kudadadeeeki mtanyooka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…