Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Muda wenu wa kudhalilika umefika rasmiUwe na uhakika na hii habari, sio vyema kupotosha mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wenu wa kudhalilika umefika rasmiUwe na uhakika na hii habari, sio vyema kupotosha mkuu.
HAWEZI KUTU NISHIA MISULI NA TAIFA KUBWA KAMA MAREKANI. JESHI LENYEWE HATUNA MAANA NYERERE ALIKUFA NA JESHI LAKE.Huko Jalalani hakujawahi kutoka mtu mwenye akili, kwa kawaida jalalani huwa wanakaa wagonjwa wa akili kama huyu Profesa wetu.
Sasa ni wakati wa kumtafutia matibabu mazuri pale hospitali kuu ya wagonjwa wetu hawa, yaani pale Milembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mpumbavu tulia..Uwe na uhakika na hii habari, sio vyema kupotosha mkuu.
Spin! GOP and Trump are anti gay!Kubenea(mbunge wa chadema) : Ben Saanane anaonekana kwenye vijiwe vya kahawaView attachment 1343703
Sent using Jamii Forums mobile app
IKO SIKU UKWELI UTA JULIKANAUwe na uhakika na hii habari, sio vyema kupotosha mkuu.
Huenda ni masharti ya waganga kuogea maji ya maiti lazima azeekeHivi huyu anaitwa kijana mbona ameshazeeka,
Naomba Kiranga akirudi anijuze nikampokee airport 😄
Kwa hiyo B.Saanane ameshakufa? Wapi imethibitishwa na amezikwa wapi? Isijekuwa Marangu mmetoa kafara Mrombo wa watu na kumsingizia Makonda!
Hahahahah!!! Eti " kuwarudisha akina Nyani Ngabu" asee umenichekesha, yani poropesa amchomowe Nyani Ngabu kwenye maboksi yake? Ngabu utakubali kupanda bombadiee bila hata begi la mgongoni na raba mtoni kweli? Hahahahaha!!!Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Usipotoshe! BBC wanaonyesha kuwa Makonda “among” the things he has been doing! There are A plethora of sadistic actsBBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.
Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize BBCKwanza hiyo ni tafsiri yako, pili unataka kutuambia Marekani ni taifa la Mashoga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee hiyo siku itakuwa kuzaa zaa cha mwaka, hapo Nyani Ngabu ndo hatokubali na koti lake kuchanika ndani ya ndege kama Miguna Miguna.Yupo atakayekubali kurudi?
Punguza mihemko kamanda.Wee mpumbavu tulia..
Kwani msipoenda marekani mnajisikiajeI think the next one is DPP. Biswalo Mganga sali sana huko ulipo.
Kesi za kina Kabendera na Tito na kina Zitto zitaenda na wewe