Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Huko Jalalani hakujawahi kutoka mtu mwenye akili, kwa kawaida jalalani huwa wanakaa wagonjwa wa akili kama huyu Profesa wetu.
Sasa ni wakati wa kumtafutia matibabu mazuri pale hospitali kuu ya wagonjwa wetu hawa, yaani pale Milembe

Sent using Jamii Forums mobile app
HAWEZI KUTU NISHIA MISULI NA TAIFA KUBWA KAMA MAREKANI. JESHI LENYEWE HATUNA MAANA NYERERE ALIKUFA NA JESHI LAKE.
PLEASE MAGUFURI MTUMBUR KABUDI HARAKA SANA
 
Huyo hapo...kasema wasipoondoa hivyo vikwazo basi serikali yetu nayo itajibu kwa kwenda kuwachukua na kuwarudisha akina Nyani Ngabu nchini.View attachment 1343585
Hahahahah!!! Eti " kuwarudisha akina Nyani Ngabu" asee umenichekesha, yani poropesa amchomowe Nyani Ngabu kwenye maboksi yake? Ngabu utakubali kupanda bombadiee bila hata begi la mgongoni na raba mtoni kweli? Hahahahaha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BBC ambalo ni shirika la utangazaji la Uingereza limeweka wazi kuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam amezuiwa kuingia Marekani kwa sababu ya juhudi zake za kupambana na ushoga nchini Tanzania.

Ikumbukwe Mara baada ya Paul kuanzisha vita ya madawa ya kulevya na ushoga alianza kushambuliwa na kupokea vitisho kutoka kwa chadema na mabeberu kutoka kote duniani.View attachment 1343649

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipotoshe! BBC wanaonyesha kuwa Makonda “among” the things he has been doing! There are A plethora of sadistic acts
 
Makonda (Bashite), ana future mbaya mno, labda hayo mapepo yamemfunika hawezi tu kuona.

Kama ni kweli alishiriki kwenye hayo mauaji na hata lile jaribio lililofeli la kutaka kumuua Tundu Lissu hatakaa aone uzee wake na hata akiuona hataufurahia.

Akipona kufungwa jela kwa sababu ya mfumo mbovu wa sheria tuliyonao basi mwisho wake unaweza kuwa kama wa Yuda Iscariot.

Makonda is now nothing but a pariah.
 
Back
Top Bottom