Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kwamba Makonda ndio kafanya hayo yanayosemwa basi huyo Makonda atakua ndie raisi Wa TZ.
Nahisi kuna jambo jingine nyuma ya pazia na kati ya mambo yaliyowakera wenye dunia yao ni mbio za Makonda dhidi ya ushoga maana ilibidi atulizwe tu aachane na suala hilo la kuwaandama mashoga sasa majibu yamekua mabaya Sana.
Kama kuna mtu anabisha hili ajitokekeze kiongozi mwingine awaandame mashoga akiwa serious Kabisa aone kitakachompata atatengenezewa zengwe bila kujua mpaka apoteane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wakiwa madarakani wanadhani wameshafika mbinguni[emoji28]

Mlevi akipita karibu na nyumba yako akasema 'mtoto analia ameshindwa kufungua mlango' halafu ukapuuzia bila kuchukua hatua na mwishowe unapigiwa simu na jirani yako kama ana simu yako!

"Na kukwambia mwanao alikuwa analia getini nadhani leo amewahishwa na school bus"

Ndipo unayakumbuka maneno ya yule mlevi, ndipo unajua umuhimu wa yule mlevi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeridhika na Utanzania wetu, kaeni na umarekani wenu, kamwe hatutauza utu wetu kwenu,Naipenda Tanzania nitabaki Mtanzania hata nikingia marekani nitarudi Tanzania, kwanza naingia kufanya nini???Long Live Paul Makonda, Hakika kweli tunapiga hatua siku zote ukiona hawa marekani wamenza kukupiga vita vya vikwazo ujue taifa lako linaendelea.....

Hatutaki ushoga, wala hatupashani Taarifa na mashoga
 
Nakushauri ki urafiki tu nenda kamuulize Mugabe kulicho mkuta, ukirudi huko njoo hapa jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kujiliwaza wewe, tulisha waeleza kuwa mambo mnayo yafanya kuwa tanzania ni mali yenu kuna siku yatageuka kuwa ndoano
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mnavyo jidanganya kuwa watanzania wana ikubali ccm[emoji23][emoji23] wakati mnawanyima nafasi ya kukusanyika na kufanya siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuulize Mugabe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni uchaguzi hadi uchaguzi, mikusanyiko isiyokuwa na tija ya nini ?, mwaka huu ni uchaguzi mtakusanyika mtakavyo nchi nzima baada ya uchaguzi kuisha bado mnataka kukusanyika tena? hizi kazi mtafanya lini?
 

Yaani ubongo wake umejaa uji uji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…