Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

Kwamba Makonda ndio kafanya hayo yanayosemwa basi huyo Makonda atakua ndie raisi Wa TZ.
Nahisi kuna jambo jingine nyuma ya pazia na kati ya mambo yaliyowakera wenye dunia yao ni mbio za Makonda dhidi ya ushoga maana ilibidi atulizwe tu aachane na suala hilo la kuwaandama mashoga sasa majibu yamekua mabaya Sana.
Kama kuna mtu anabisha hili ajitokekeze kiongozi mwingine awaandame mashoga akiwa serious Kabisa aone kitakachompata atatengenezewa zengwe bila kujua mpaka apoteane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wakiwa madarakani wanadhani wameshafika mbinguni[emoji28]

Mlevi akipita karibu na nyumba yako akasema 'mtoto analia ameshindwa kufungua mlango' halafu ukapuuzia bila kuchukua hatua na mwishowe unapigiwa simu na jirani yako kama ana simu yako!

"Na kukwambia mwanao alikuwa analia getini nadhani leo amewahishwa na school bus"

Ndipo unayakumbuka maneno ya yule mlevi, ndipo unajua umuhimu wa yule mlevi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeridhika na Utanzania wetu, kaeni na umarekani wenu, kamwe hatutauza utu wetu kwenu,Naipenda Tanzania nitabaki Mtanzania hata nikingia marekani nitarudi Tanzania, kwanza naingia kufanya nini???Long Live Paul Makonda, Hakika kweli tunapiga hatua siku zote ukiona hawa marekani wamenza kukupiga vita vya vikwazo ujue taifa lako linaendelea.....

Hatutaki ushoga, wala hatupashani Taarifa na mashoga
 
Nani ananyooka kati yenu na sisi yaani akili zenu zote zimewaamini sana wamarekani. Subirini October ndiyo mtajua watz walivyo waulizeni miaka ya 70s walifanywaje! Najua wakina Mbowe na kina Lissu wanataka wapige pesa ya nguvu kama walivyopiga toka kwa Lowassa na kina Rostam 2015. Sasa nyinyi wafuata upepo mko tu njiani mnakimbia mkiambiwa tunabadilisha via angani mnashangilia kama mazezeta na mapovu ya OMO juu. SAA hizi mnamuona huyo beberu asijui anaitwa pepo ndiyo mungu wetu atawapa ushindi wakati watz ndiyo wapiga kura. Kamuulize Seif walimwambia watampa urais wa Zanzibar tangu 2015 mpaka leo anasubiri. Hahahahah
Nakushauri ki urafiki tu nenda kamuulize Mugabe kulicho mkuta, ukirudi huko njoo hapa jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kujiliwaza wewe, tulisha waeleza kuwa mambo mnayo yafanya kuwa tanzania ni mali yenu kuna siku yatageuka kuwa ndoano
dindilichuma,
Mkuu kingine kilichowauma mabeberu ni sheria ya madini kupita pamoja na deal LA Barrick na Serikali ya TZ hawakutaka ifanikiwe ndiyo maana vibaraka wao walikuwa wanapiga kelele sana kwamba hakuna mkataba kusainiwa na ndiyo maana ulikuwa siri sana waliona tu unasainiwa Ikulu tu. Watz siyo wa mchezo mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo mnavyo jidanganya kuwa watanzania wana ikubali ccm[emoji23][emoji23] wakati mnawanyima nafasi ya kukusanyika na kufanya siasa
Hakuna na ICC wala nini subiri watz wawanyooshe October mnasubiri wamarekani wawasaidie sijui watakuja kupiga kura! Uchaguzi utakuwa poa ile mbaya sijui huyo beberu Pepo ataingiliaje uchaguzi na wapinzani wapo humu JF tu labda mkalete mabeberu ya kukodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuulize Mugabe
Hakuna cha ICC wala nini subiri watz wawanyooshe October mnasubiri wamarekani wawasaidie sijui watakuja kupiga kura! Uchaguzi utakuwa poa ile mbaya sijui huyo beberu Pepo ataingiliaje uchaguzi na wapinzani wapo humu JF tu labda mkalete mabeberu ya kukodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa ni uchaguzi hadi uchaguzi, mikusanyiko isiyokuwa na tija ya nini ?, mwaka huu ni uchaguzi mtakusanyika mtakavyo nchi nzima baada ya uchaguzi kuisha bado mnataka kukusanyika tena? hizi kazi mtafanya lini?
 
Katazo hili kwa kiasi kikubwa tunaweza kusema ni kuhusu kauli zake kwenye mambo ya ushoga. Tangu atoe lile tamko la kukurupuka, nchi za Magharibi hazikufurahishwa kabisa.

Haya mengine wameyaweka tu kwani wanajua wangesema tu ni ushoga basi wananchi wengi wange-react negatively! Tusidanganyane eti wamekasirishwa na manyanyaso yake kwa raia. All in all, wakulaumiwa hapa ni rais mwenyewe.

Huyu Makonda alikwishaonyesha kabisa ni mtu asiye na busara ya uongozi, hafanyi kazi yoyote bali ni msanii na mabovu mengine mengi lakini kwa sababu anazojua aliyemteua hataki kumwondoa. Hata wananchi wengi wa Tanzania hawampendi na Makonda mbaya zaidi anasababisha chuki kati ya serikali na wananchi.

Yaani ubongo wake umejaa uji uji!
 
Back
Top Bottom