Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Hili jimbo ni ngumu mno, wananchi wa kigamboni wamevumilia mengi mno na wana mengi moyoni mwao...

Kuishi kigamboni unahitaji uvumilivu wa hali ya juu.

Sasa hili ni fundisho, ila bado sasa mziki wa uchaguzi Mkuu.
 
Haters tulieniiii....tunajambo letuu huko kamati kuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Matokeo hayaaminiki anaweza pita na mkashangaa.
Ngoja nikae kimya kwanza nimejichoke zangu nimetoka gym
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…