Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Huyo mama katumbuliwa bila kugombea jimbo lolote? Kama hajagombea halafu katumbuliwa basi kipindi kile ilimtouch kimya kimya 😀 😀 😀.
 
Ataonea nani wakati 2020-2025 watakua wenyewe tuu ma ccm
 
Kigamboni hakuna mwana ccm amegombea zaidi ya bashite.. huko nasikia anapita kwa kura za ndio/hapana.

Amesha wahonga wote, na wengine wamepigwa stop na baba ake.
 
Akili za watanzania ni za hovyo Sana. Hivi mpaka Sasa mmeshindwa kujua Aina ya siasa za Tanzania kuamini makonda hatopita kigamboni. Jamaa anapita kigamboni na anaenda kuwa waziri.


Kwa akili hizi za watanzania sijui Kama wataweza kuiondoa CCM
 
Mpoki msimdharau katumwa na ile baniani yenye maugomvi na hiyo gombea...panju wa panjuani
 
Akili za watanzania ni za hovyo Sana. Hivi mpaka Sasa mmeshindwa kujua Aina ya siasa za Tanzania kuamini makonda hatopita kigamboni. Jamaa anapita kigamboni na anaenda kuwa waziri.


Kwa akili hizi za watanzania sijui Kama wataweza kuiondoa CCM
Shangaa wewe mkuu yani tanzania safari bado ni ndefu sana.. Mwana anasema vijana waliozaliwa 1982 wana tamaa sana kuwachotaa watu tu akili waone kuwa amemind. Mara ajishtukie aseme hajamtuma mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani dingi bhanaa.. Sema wenye akili timamu washausoma mchezo kitambo tu
 
Sidhani Kama hii nchi itakuja kuendelea maana sijapata ona taifa lenye raia vilaza Kama Tanzania. Yaani reasoning capacity ya wabongo Ni almost 0 kabisa.
 
Hao wa kumkata bashite hawamuogopi jiwe?

Umesahau kilichompata nape alipopanga kumshughulikia bashite?
 
Ungekuwa na reasoning kubwa ungeshagundua ndege siyo unapiga blah blah humu
Sidhani Kama hii nchi itakuja kuendelea maana sijapata ona taifa lenye raia vilaza Kama Tanzania. Yaani reasoning capacity ya wabongo Ni almost 0 kabisa.
 
Hiyo kauli Magu alisema na alirudi kwa msisitizo,Katibu wa ccm taifa naye leo kasisitiza pia,Polepole naye ameshasema sana na kurudia tena akiwa kigamboni na akamtaja kabisa.

Kwahiyo kila dalili inaonyesha huyu jamaa ngumu kupita
Usidanganyike na propaganda za chama mkuu
 
Kuna mjumbe asimpigie Bashite kura kweli? Bashite ana pesa bwana,na hajakurupuka. Akishinda kura wakamkata basi atamfuata Membe ACT.
pesa hizi alizipata wapi?
Tuanzie hapo kwani yapo mengi yataibuka kuhusu hizi pesa zake.
 
Tamaa ni mzigo!
Mkuu wa Mkoa saa anataka Uwaziri!
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
Sasa Makonda achunge ulimi wake hadharani, hana kinga ya serikali, na yale madharau yake sasa ndo mwisho.
 
Niseme neno moja tu "Makonda atawashangaza wengi" muda ni rafiki mzuri..

Tukumbuke kuweka akiba ya maneno...
 
Watu wameshaanza madongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…