Uchaguzi 2020 Paul Makonda, hawezi kupita Kigamboni kura za Maoni

Jamaa hajaingia kwenye hilo jimbo kichwa kichwa. Amepiga fedha chafu ndefu sana na alishahonga wahusika muda mrefu tena kimya kimya. Mkakati ulishaanadaliwa kwa usiri mkubwa. Uchaguzi wa siku hizi hasa CCM kwenye kura za maoni ni fedha yako inazungumza na si vinginevyo. Yeye kazi ya kuwahonga wajumbe alishamalizana nao zamani kwa kutumia channels za siri sana.
 
Le mutuz kala tenda kubwa ya mabilioni kwenda Afrika ya kati na Nchi zingine kuchukua waganga wa kienyeji, wajanja wale madalali wa CCM watakula pesa zake zote mpaka wamfirisi kabsa
Ameshahonga wajumbe karibu wote. Haya mambo yamefanyika kisirisiri sana.
 
Magufuli amekausha lakini ukweli utaonekana kabla na baada ya Uchaguzi.
 
Sidhani Kama hii nchi itakuja kuendelea maana sijapata ona taifa lenye raia vilaza Kama Tanzania. Yaani reasoning capacity ya wabongo Ni almost 0 kabisa.

Kwahiyo wakitofautiana na wewe kimtazamo tayari reasoning yao ndiyo imekuwa ni 0??! Kama ni hivyo si uhame Nchi uende kwa hao walio na reasoning 100!
 
Bora ccm impitishe mpoki
 
mtandao hauziki taarifa, kuwa jina lake kamili ni Daudi Albert Bashite dada yake akamuibia vyeti vya bwana wake anaitwa Paul Christian , jamaa akavichukua akaanza kuvisomea akaenda mahakamani kupewa jina la Makonda likaongezwa mbele ya Paul Christian akaitwa Paul Christian Makonda!

Kimsingi tukisimamia haki naukweli huyu Makonda ni mhalifu na tapeli na hafai kuwa mbunge , anafaa huko huko alipokuwa, ni mtu mbinafsi , mwenye tamaa ya mali, yaani haridhiki na cheo , ni mtu mwenye jazba hafai kuwa kiongozi wa umma, tukumbuke alimpiga mtama Warioba bila kujali kuwa ni waziri mkuu mstaafu na pia alitumia madaraka yake vibaya kuvamia Clouds fm na jeshi lililotakiwa kuwa kazini kulinda usalama wa raia si ajabu tukiona akimpiga ngumi Ndugai huko bungeni kama atapita anga zake!

ngoma ikivuma sana inapasuka!!

hebu sisiem tupeni heshma yetu wapigakura tuondoleeni makapi haya ya kina Makonda , Gwajima na magugu mengine yanayochafua chama!!
 
Kwahiyo wakitofautiana na wewe kimtazamo tayari reasoning yao ndiyo imekuwa ni 0??! Kama ni hivyo si uhame Nchi uende kwa hao walio na reasoning 100!
Mwambie mama yako amkimbie baba yako maana kaolewa na kilaza Kama mimi
 
Tamaa ikizidi huzaa mauti, unaacha mkoa wote huu kwa tamaa, yaani ningekuwa Mheshimiwa Magufuli nakata kabisa jina lake, akawe mkulima huko kama sie wenzie, dadekii zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AKIPITISHWA Hapa ndo tutajua kuwa ni mtoto wa baba, anabebwa kwa hali na mali, na kila kosa analofanya kwake baba sio kitu.
Bado siku chache tu!!!!!!!!!!!!!
 
CCM wanashangilia utitiri wa watia nia ya kugombea ubunge kupitia chama lao la Joka la Kijani la Kishetani, lakini hii so dalili mzuri tunakoelekea tutakuwa kama Somalia kila mtu anataka kuongoza mwisho wake tutaanza kuzichapa kugombania madaraka ya kisiasa maana ndiyo kwenye maslahi. Watumishi hawajaongizewa mashahara kwa miaka Kitano,nani anataka umasikini na unyonge.
 
Ni kitu imepangwa baada ya kuona watu wamechukulia negative fomu moja ya urais wakaona heri wengi wachukue fomu ya ubunge kuficha udikteta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…