Ninachokishangaa ni kwa nini Bashite hajui anaonekanaje mbele ya umma. Hii ni bahati mbaya kwake. Anapaswa aelewe vizuri kabisa jinsia anavyonekana mbele ya jamii pana nje ya Jiwe na genge lake. Kama hajui basi akili hana. Ni ajabu kwamba anajitokeza mbel;e ya media kuandika yanayomsuta.