Paul Makonda: Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbea, Majungu na Uongo?

"A Bible can be used to prove anything". Vifungu vya Biblia hutumiwa ili kuweza kukidhi matakwa ya yule anayevitumia. Ukipitia uzi huu utaona ukweli huo. Mmoja unaelezea kwamba "usifurahi nipatapo shida kwani Mungu anaweza kuniinua tena". Mwingine "Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele za shangwe". Nawe pia umetumia kifungu hiki kuonesha nini kilichokugusa katika uzi huu. Msomaji ana uamuzi wake kuhusu haya mambo.
 
Uzushi na uongo ni mazao ya chuki waliyoipanda wenyewe (CCM). Wasilalamike.
 
Kwamba hata Lissu walimzushia kuwa kapigwa risasi 32, wakati ni uongo.
 
Hivi huyu bwana mdogo bado yupo Tanzania, loh maana siku nyingi sana hajasikika
 
Akaye kimya bora wambeya kuliko uwaji asidhani watu hajui file lake
 
Hata aliyewahi kutangaza mtoto wa Mbowe ana Corona ni Mmwanza kama si Mmbeya
 
Makonda huyu ambae ndie alikuwa akiendeleza sera za ubaguzi na unyanyasaji wa kikabila na ukanda?
Huu ni unafiki wa hali ya juu kwani ameumiza wengi sana sana kwa kuwa tu ni kabila fulani na mifano ipi mingi!
 
Bashite ajiandae tu kupiga mbizi kwenda hapo Comoro fasta!
 
Ungeweka na baadhi ya majibu (comment)aliyojibiwa kwenye hii post ingependeza!
 
WHo is MAKONDA?. Ndio yule Bashite?.
Mwambieni time will tell. Anahubiri upendo wakati kuna mtu alimiminiwa risasi 38 hadi leo hakuna RB wala nini, wala hakuwahi kukemea, sanasaa anahusishwa, Upendo gani anaouhubiri?. Mwambieni MUNGU hadhihakiwi.
 
Nimekupa like kwa hiyo "my take" tuu .
 
Dunia duara leo Rashidi ndie boss wa bashite.Bashite hana hadhi yeyeto kichama wala kiserikali
 
Labda kweli lkn awaulize travel kile kivuli ktk jangwa la Gobi karibu na pakistan ni cha nani na wale ng'e wekundu pale wanakazi gani au wanashut vdio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…