nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Ushahidi kuhusu hili upo?Kiongozi mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji akisaidiwa kwenye top list na Kinga, Jumane, Mahit na Badluck.
Au tunaandika tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi kuhusu hili upo?Kiongozi mkuu wa kikosi cha utekaji na mauaji akisaidiwa kwenye top list na Kinga, Jumane, Mahit na Badluck.
aise kweli unakichwa kizito makonda kashitakiwa nakubenea na mahakama imeamuru makonda kufika kujibu mashitaka mahakama inautaratibu wa samaz(summos).....Sasa ukitaka akashikwe na polisi unavotaka akae lupango akatae huo wito....ukiwa hujaelewa uulizeHivi jinai mshtakiwa anaombwa kufika mahakamani tarehe tajwa au anatakiwa atokee mahabusu ndani ya karandinga? Sijaelewa.
Mfano akisema hayo yote uliyoandika hajui mhusika!Pia tunaomba ajibu haya
1. Nani alimuua Ben, Azory, Mawazo Lwajabe.
2. Nani alimteka, Roma, Nondo, Mo,
3. Waliookotwa kwenye viroba ufukweni walikuwa akina nani
Kumbukeni huyu ndiye aliyekuwa anatoa taarifa kuwa Fulani atapatikana siku Fulani.
Ujuavyo ACT inaunga mkono kwakilakitu kinachofanywa kazi na ccm naserikali ya awamu ya 6 ,......hivyo hata Kama umeota inaweza kua ndoto yakweliUkiangalia kwa jicho la kawaida unaweza fikiri kama Kubenea jasiri ila kwa wanao juwa this is deep state....
Nania yao wala sio hii tunaiyona ila kumbukeni Sababu za USA kumuekea vikwazo bishite.... Tunasafari ndefu sana as nation....
Kwahiyo unakubali kwamba ana jinai yakujibu ila tu anaweza kuwalaghai clouds wakagoma kutoa ushirikiano?Kwa kushitakiwa na kubenea?
Ingekua jamhuri, hapo mtu unaweza kuwaza!
Vipi clouds wakigoma kutoa ushirikiano! mutawalazimisha?
Maana huo ndio ushahidi pekee kila mjinga anashabikia!
Kuhusu mauaji hata USA wameshindwa kutoa ushahidi!
Basi itabidi aieleze mahakama kwanini alikuwa anasema fulani atapatikana siku fulani na kweli inakuwa hivyo baada ya kutekwa.Mfano akisema hayo yote uliyoandika hajui mhusika!
Una ushahidi wa kumlink na hizo hatia?
Kwamba jinai wasiione clouds uione wewe?Kwahiyo unakubali kwamba ana jinai yakujibu ila tu anaweza kuwalaghai clouds wakagoma kutoa ushirikiano?
Hivi uvamizi ule wa hadharani bado kuna mtu anataka kumtetea Makonda?
Hata kama mtu ungekuwa unalipwa na Makonda kumtetea mitandaoni inabidi uwe na roho ngumu kutetea uhalifu wa Makonda.
Nikikubaliana nawewe kwenye hilo utakubaliana na mimi pia kwenye uhalifu alioutenda hadharani mfano pale clouds hadi tume ikatoa majibu ya kuhisika kwake na uhalifu.Makonda aliharibu biashara ya ngada ya Dj na vijana wa mitaa ya Manyanya na kinondoni yote wakaimarisha afya zao
Unajua mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoani kwake?Basi itabidi aieleze mahakama kwanini alikuwa anasema fulani atapatikana siku fulani na kweli inakuwa hivyo baada ya kutekwa.
Roma alitekwa Makonda akasema atapatikana siku fulani wakati yeye sio msemaji wa polisi.
Ume sahau na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ,Pamoja na kwamba T Lissu kureport kwenye vyombo vya dola kwamba ana fatiliwa na gari flani ha dar na kwingineko lakini Makonda Kama Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa wa daresalaam hakuchukuwa hatua yeyote.Pia tunaomba ajibu haya
1. Nani alimuua Ben, Azory, Mawazo Lwajabe.
2. Nani alimteka, Roma, Nondo, Mo,
3. Waliookotwa kwenye viroba ufukweni walikuwa akina nani
Kumbukeni huyu ndiye aliyekuwa anatoa taarifa kuwa Fulani atapatikana siku Fulani.
Ama kweli ukipenda chongo utaona kengeza tu. Yaani uhalifu uliofanyika clouds kila mtu aliuona na tume iliyoundwa kuchunguza ikaja na majibu kwa Makonda kuhusika bado huoni ni jinai?Kwamba jinai wasiione clouds uione wewe?
Hana madhara?!Siumii kwa lolote bali nawashangaa ninyi kwa kumsakama mtu ambaye hana madhara. Kiukweli, mnamkubali Makonda alikuwa JEMBE NA HAMTAMUWEZA!
Ile ban ya pompeo hakuna nchi itaruhusu kumpokea makondanaye atakuwa mjinga kama bado yuko nchini!!
Ambae anajua fulani atapatikana lini hadi saa?Unajua mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama mkoani kwake?
Tukae kimya kwani Jamii Forums iliwekwa ili tukae kimya? Pumbavu!!!Hana madhara?!
Kwa vile tu huna mtu anaekuhusu aliepatwa na matatizo wakati wa utawala wake?
Wakati mwingine tuwe tunakaa kimya tu
Ni kweli huenda wote tuliona hiyo video lakini kwanini uumie wewe zaidi?Ama kweli ukipenda chongo utaona kengeza tu. Yaani uhalifu uliofanyika clouds kila mtu aliuona na tume iliyoundwa kuchunguza ikaja na majibu kwa Makonda kuhusika bado huoni ni jinai?
Kwakweli kuna baadhi ya watu mna asili ya ubishi unaweza kusema kubisha kwamba Dodoma haipo Tanzania na ukaamini hivyo wakati unajua kabisa ipo Tanzania.