Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

Kazi iendelee
 
Mungu ambariki sana huyu RC kijana ....

Daima,
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nae katika kazi na majukumu yake magumu na mazito, ya kuwafuta machozi wanyonge, wenye shida, matatizo na changamoto mbalimbali.
Aimen👏🙏
 
Mungu ambariki sana huyu RC kijana ....

Daima,
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nae katika kazi na majukumu yake magumu na mazito, ya kuwafuta machozi wanyonge, wenye shida, matatizo na changamoto mbalimbali.
Aimen👏🙏
Kwa hakika anastahili kabisa . Ni kiongozi mchapa kazi sana.
 
Samaraizi naona umeongelea vitu km kumi kwa wakati mmoja. Point yako ipi hapo?
Nyumba
Makonda
Uzazi
Urais
Umri
Naona vibuyu tupu hapo!
 
Kwa hakika anastahili kabisa . Ni kiongozi mchapa kazi sana.
Natamani adumu Arusha kwa walau one Year kisha ahamishiwe Mwanza nako adumu one yr, kisha aende dar one yr, then apelekwe Dodoma for one yr, then apelekwe mbeya, tanga, iringa, songea, manyara, tabora, singida n.k hivyo hivyo mwaka moja moja mpaka 2030 kwa wakati muafaka unafika tayari mambo yamenyooka kila mahali, ni kuchukua, kuweka waa tu🐒
 
Tutolee maigizo yako hapa.....tunataka afanye vitu vya maendeleo......kwa wananchi acheni maigizo yenu
 
Kwa hakika 2030 ni kuchukua na kuweka waa kwa Mheshimiwa Makonda katika sanduku la kura.
 
Pamoja na kuwa wewe ni CHAWA PRO MAX
Ila maneno yako baadhi katika hii COMMENT
Nayakubari
Binafsi siipend CCM asilani abadani pamoja na huyo mama simkubari kabisa

Ila makonda tangu akiwa mkuu wa mkoa wa DSM ninamkubari kwanza ni mwingi wa kutimiza AHADI ni mwepesi kwenye kujumuika katika matatizo ya JAMII na ni kiongozi mwenye huruma sana kwa wananchi wenye uwezo mchache
Ndio mkuu wa mkoa pekee ambaye ilikiwa rahisi kupata appointment naye kumuona ama ukapelekankero yako na ikamfikia na kujibu kwa wakati
Hvyo unaweza sema kuna mambo mengi huwa anayafanya kwa jamii ni vile moyo wake huwa unaguswa
Me naona ndio mtu pekee anayeweza kuvaa viatu vya MAGUFURI katika namna ya UONGOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…