Paul Makonda kumjengea nyumba bibi anayenyanyaswa na Familia yake kisa hana Mtoto

Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume,kazi ya kugusa maisha ya watu ,kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza ndani yao,kazi ya kuleta faraja kwa wenye mioyo ya huzuni na maumivu,kazi ya kuwapa watu mwanzo mpya wenye matumaini katika maisha yao .

Katika muendelezo wa kliniki yake yakusikiliza matatizo na kero za watu mbalimbali amejikuta katika wakati mgumu sana kibinadamu,amejikuta moyo wake ukijawa na huzuni,uchungu,machozi na huruma pale alipokutana na kukumbana na kilio cha juu sana kutoka kwa Bibi Penina mwenye umri wa miaka 70 ambaye hana makazi ya kuishi baada ya nyumba yake ya awali kubomoka, na ndugu zake kukataa kumjengea nyumba nyingine kwa madai kuwa hana mtoto yeyote yule ambaye atarithi nyumba hiyo na isitoshe yeye ni mzee sana na anaweza kufa wakati wowote ule.

Maneno hayo yalitua kama mkuki wa moto katika moyo wa Mheshimiwa Makonda ambaye alishikwa na huzuni na huruma kubwa sana, na kuamua kumpa faraja na kumtaka bibi huyo anyamaze nakuacha kulia kwa kuwa tumaini jipya limepatikana na kwamba mkuu huyo wa mkoa anakwenda kumjengea nyumba bora na ya kisasa kabisa ya vyumba viwili ambayo inakwenda kukamilika ndani ya mwezi huu wa mei pamoja na kumpatia ulinzi.

Bibi huyo ameripuka kwa furaha na shangwe kubwa sana iliyogusa hisia za watu wengi sana, ambao waliguswa na ahadi hiyo ya Mheshimiwa Makonda na kumpongeza sana kwa moyo wake wa Upendo na huruma kwa watu. Mheshimiwa Makonda ni mpango wa Mungu Mwenyewe kumuinua ili aguse maisha ya watu wanyonge na maskini wanaoteseka na shida mitaani.

Ndio sababu Anaendelea kubarikiwa na kulindwa na mkono wa Mungu Mwenyewe,ndio maana Anaendelea kupata kibali mbele za watanzania,ndio maana Anaendelea kuishi katika mioyo ya watanzania wanyonge wanaomuona kama mkombozi wao.ndio maana watu hawataki kwenda mahakamani wakiwa na kesi na badala yake wanamkimbilia kwanza Mheshimiwa Makonda ili awasaidie.

Ni kupitia Mh Makonda watu wengi waliokuwa wamedhulumiwa haki zao kama vile kunyang'anywa ardhi,kuporwa mali zao wamepata na kulipwa haki zao. Leo bibi huyu ambaye ameona nuru katikati ya giza ataendelea kumuombea Mh Makonda mbele za Mungu wakati wote wa uhai wake ili ambariki sana na kumlinda.hata siku atakapokuwa mbele za Mungu ataendelea kumuomba Mungu amkumbuke kijana wake Mheshimiwa Makonda aliyempatia tabasamu..

Tuwatunze wazee wetu na kuwapenda.kupata watoto na kuwa na watoto ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.tutambue ya kuwa anayetoa watoto ni Mungu mwenyewe.usimnyanyase mtu kwa kuwa hana watoto. Hana alikuwa Tasa na hakuwa na mtoto lakini baadaye Mungu alimpatia watoto miongoni mwao ni Samweli aliyekuja kuwa mfalme.kwa hiyo kupata mtoto au kutokupata ni mapenzi ya Mungu mwenyewe.

Pia suala la kusema huyu ni mzee anaweza akafa wakati wowote ule nalo ni wazo baya sana mbele za Mungu,kwa sababu ajuaye hesabu yake ya kuishi binadamu yeyote yule hapa Duniani ni Mungu pekee.leo hii kuna watu wanaishi hadi miaka mia moja yaani karne moja. Leo kule Marekani kuna watu wana miaka kama ya Bibi huyo na bado wanautaka Urais wa Marekani na wanaungwa mkono na watu wengi. Kwetu sisi tuna msemo kuwa embe bichi huanguka na kuliacha lililoiva mtini yaani inyembe indinda yikugwanga na kuileha intonu. Unaweza kujiona wewe ni kijana na ukajikuta unakufa na kutangulia mbele za haki na kumuacha huyo bibi akiendelea kuishi maisha marefu tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kazi iendelee
 
Mungu ambariki sana huyu RC kijana ....

Daima,
Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nae katika kazi na majukumu yake magumu na mazito, ya kuwafuta machozi wanyonge, wenye shida, matatizo na changamoto mbalimbali.
Aimen👏🙏
 
Kwa hakika anastahili kabisa . Ni kiongozi mchapa kazi sana.
 
Samaraizi naona umeongelea vitu km kumi kwa wakati mmoja. Point yako ipi hapo?
Nyumba
Makonda
Uzazi
Urais
Umri
Naona vibuyu tupu hapo!
 
Kwa hakika anastahili kabisa . Ni kiongozi mchapa kazi sana.
Natamani adumu Arusha kwa walau one Year kisha ahamishiwe Mwanza nako adumu one yr, kisha aende dar one yr, then apelekwe Dodoma for one yr, then apelekwe mbeya, tanga, iringa, songea, manyara, tabora, singida n.k hivyo hivyo mwaka moja moja mpaka 2030 kwa wakati muafaka unafika tayari mambo yamenyooka kila mahali, ni kuchukua, kuweka waa tu🐒
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Paul Christian Makonda Anaendelea kufanya kazi ya kitume,kazi ya kugusa maisha ya watu ,kazi ya kuwafuta wabubujikwao machozi,kazi ya kurejesha matumaini na tabasamu kwa waliokata tamaa na kupoteza matumaini,kazi ya kuleta nuru katika mioyo ya watu wenye giza ndani yao,kazi ya kuleta faraja kwa wenye mioyo ya huzuni na maumivu,kazi ya kuwapa watu mwanzo mpya wenye matumaini katika maisha yao .

Katika muendelezo wa kliniki yake yakusikiliza matatizo na kero za watu mbalimbali amejikuta katika wakati mgumu sana kibinadamu,amejikuta moyo wake ukijawa na huzuni,uchungu,machozi na huruma pale alipokutana na kukumbana na kilio cha juu sana kutoka kwa Bibi Penina mwenye umri wa miaka 70 ambaye hana makazi ya kuishi baada ya nyumba yake ya awali kubomoka, na ndugu zake kukataa kumjengea nyumba nyingine kwa madai kuwa hana mtoto yeyote yule ambaye atarithi nyumba hiyo na isitoshe yeye ni mzee sana na anaweza kufa wakati wowote ule.

Maneno hayo yalitua kama mkuki wa moto katika moyo wa Mheshimiwa Makonda ambaye alishikwa na huzuni na huruma kubwa sana, na kuamua kumpa faraja na kumtaka bibi huyo anyamaze nakuacha kulia kwa kuwa tumaini jipya limepatikana na kwamba mkuu huyo wa mkoa anakwenda kumjengea nyumba bora na ya kisasa kabisa ya vyumba viwili ambayo inakwenda kukamilika ndani ya mwezi huu wa mei pamoja na kumpatia ulinzi.

Bibi huyo ameripuka kwa furaha na shangwe kubwa sana iliyogusa hisia za watu wengi sana, ambao waliguswa na ahadi hiyo ya Mheshimiwa Makonda na kumpongeza sana kwa moyo wake wa Upendo na huruma kwa watu. Mheshimiwa Makonda ni mpango wa Mungu Mwenyewe kumuinua ili aguse maisha ya watu wanyonge na maskini wanaoteseka na shida mitaani.

Ndio sababu Anaendelea kubarikiwa na kulindwa na mkono wa Mungu Mwenyewe,ndio maana Anaendelea kupata kibali mbele za watanzania,ndio maana Anaendelea kuishi katika mioyo ya watanzania wanyonge wanaomuona kama mkombozi wao.ndio maana watu hawataki kwenda mahakamani wakiwa na kesi na badala yake wanamkimbilia kwanza Mheshimiwa Makonda ili awasaidie.

Ni kupitia Mh Makonda watu wengi waliokuwa wamedhulumiwa haki zao kama vile kunyang'anywa ardhi,kuporwa mali zao wamepata na kulipwa haki zao. Leo bibi huyu ambaye ameona nuru katikati ya giza ataendelea kumuombea Mh Makonda mbele za Mungu wakati wote wa uhai wake ili ambariki sana na kumlinda.hata siku atakapokuwa mbele za Mungu ataendelea kumuomba Mungu amkumbuke kijana wake Mheshimiwa Makonda aliyempatia tabasamu..

Tuwatunze wazee wetu na kuwapenda.kupata watoto na kuwa na watoto ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.tutambue ya kuwa anayetoa watoto ni Mungu mwenyewe.usimnyanyase mtu kwa kuwa hana watoto. Hana alikuwa Tasa na hakuwa na mtoto lakini baadaye Mungu alimpatia watoto miongoni mwao ni Samweli aliyekuja kuwa mfalme.kwa hiyo kupata mtoto au kutokupata ni mapenzi ya Mungu mwenyewe.

Pia suala la kusema huyu ni mzee anaweza akafa wakati wowote ule nalo ni wazo baya sana mbele za Mungu,kwa sababu ajuaye hesabu yake ya kuishi binadamu yeyote yule hapa Duniani ni Mungu pekee.leo hii kuna watu wanaishi hadi miaka mia moja yaani karne moja. Leo kule Marekani kuna watu wana miaka kama ya Bibi huyo na bado wanautaka Urais wa Marekani na wanaungwa mkono na watu wengi. Kwetu sisi tuna msemo kuwa embe bichi huanguka na kuliacha lililoiva mtini yaani inyembe indinda yikugwanga na kuileha intonu. Unaweza kujiona wewe ni kijana na ukajikuta unakufa na kutangulia mbele za haki na kumuacha huyo bibi akiendelea kuishi maisha marefu tu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tutolee maigizo yako hapa.....tunataka afanye vitu vya maendeleo......kwa wananchi acheni maigizo yenu
 
Natamani adumu Arusha kwa walau one Year kisha ahamishiwe Mwanza nako adumu one yr, kisha aende dar one yr, then apelekwe Dodoma for one yr, then apelekwe mbeya, tanga, iringa, songea, manyara, tabora, singida n.k hivyo hivyo mwaka moja moja mpaka 2030 kwa wakati muafaka unafika tayari mambo yamenyooka kila mahali, ni kuchukua, kuweka waa tu🐒
Kwa hakika 2030 ni kuchukua na kuweka waa kwa Mheshimiwa Makonda katika sanduku la kura.
 
Makonda anapendwa na mamilioni ya watanzania na ndio maana watu hufurika na kumiminika kwa wingi kama mchanga wa baharini au nyota za angani mahali popote pale awapo na mkutano. Mungu kampa kibali na Karama ya uongozi. Lakini kubwa zaidi ni kuwa Mheshimiwa Makonda ni kiongozi mchapa kazi,mbunifu na mwenye moyo wa kujitoa na kujitolea sana kwa watu.
Pamoja na kuwa wewe ni CHAWA PRO MAX
Ila maneno yako baadhi katika hii COMMENT
Nayakubari
Binafsi siipend CCM asilani abadani pamoja na huyo mama simkubari kabisa

Ila makonda tangu akiwa mkuu wa mkoa wa DSM ninamkubari kwanza ni mwingi wa kutimiza AHADI ni mwepesi kwenye kujumuika katika matatizo ya JAMII na ni kiongozi mwenye huruma sana kwa wananchi wenye uwezo mchache
Ndio mkuu wa mkoa pekee ambaye ilikiwa rahisi kupata appointment naye kumuona ama ukapelekankero yako na ikamfikia na kujibu kwa wakati
Hvyo unaweza sema kuna mambo mengi huwa anayafanya kwa jamii ni vile moyo wake huwa unaguswa
Me naona ndio mtu pekee anayeweza kuvaa viatu vya MAGUFURI katika namna ya UONGOZI
 
Back
Top Bottom