Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Makonda anataka kuaminisha Dunia kuwa Marekani walikuwa ni waongo!๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’

 
Kesi ya uhujumu uchumi haitoshi apewe kesi ya ugaidi kabisa ahamishie makazi yake gerezani,mtu gani aliyekosa utu enzi za mwendazake waliishi kama wafalme wakasahau kuwa CCM ni ileile iliojaa sifa zote za ushetani.
 
Mtamuombea mabaya sana Makonda lakini hayatampata kamwe! Mwenyezi Mungu wa Isaka na Ibrahim atamhifadhi!

Nani anamuombea mabaya?. Yeye mwenyewe kalalamika anataka kuuwawa. Sasa mtu anataka kuuawa Nani anashida naye, aende polisi au asubiri auawe akazikwe maisha yaendelee. Kama alikuwa Magufuli aliyedhihaki wengine sembuse huyo tapeli asiyekuwa na faida.
 

Tatizo Ni kwamba Bashite alikuwepo Dodoma siku Lissu anashambuliwa. Na haya kasema Lissu mwenyewe.
 
Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es salaam Paul Makonda amesema kuna mkakati unaoratibiwa na makundi matano kuangamiza maisha yake, ameandika haya kwenye Instagram yake.

 
Tatizo aliyafanya hayo kwa ujambazi,na aliyekuwa anamkingia kifua,na yeye alikuwa jambazi,sasa akae kimya asubili kunyolewa,yeye alifikiri Jiwe atadumu milele Madarakani?
 
paulo kafanya kazi kubwa kweli kulit3ngenezq jj la dar .yeyote atakayejidanganya kutaka kumdhuru au kumpachikia li kesi la kizandiki,Basi awe tayari kwenda Burundi forever!!
 
Eti mtu aliyejenga hospitali?

Useless kabisa, amejenga hospitali gani huyu na kwa pesa zipi kama sio kodi za watu??

By the way huyu alikua ni among of the state goons hakuna namna ya kujitoa.

US walifanya uchunguzi makini na wa kina ndio maana alizuiwa kuingia US sasa mjiulize mara ya mwisho US kumzuia mtanzania aliye kwenye nafasi za uongozi kuingia US ilikuwa lini mara ya mwisho.

Huyu hana mikono safi kama anavyofanya kutafuta huruma uzuri ni kuwa hata miaka haijapita mingi na rekodi za kielektroniki baadhi zipo.

Nchi ilishikwa na washamba ikapelekwa zama za mawe.
 

Makonda Hana hekima anarudi kosa la Sabaya. Umekosea kaa kimya, baadala ya kujimwabafy. Mbona halalamiki kukataliwa kigamboni na Wana CCM wenzake?.
 
paulo kafanya kazi kubwa kweli kulit3ngenezq jj la dar .yeyote atakayejidanganya kutaka kumdhuru au kumpachikia li kesi la kizandiki,Basi awe tayari kwenda Burundi forever!!

Alifanya kazi gani kubwa?. Kutafuta Kiki Ni kufanya kazi kubwa?. Burundi hamia mwenyewe. Watu wamevumilia tozo na Bei ya mafuta kupanda, ije huyo mpenda sifa na dharau ndio awafanye waaandamane. Huwajui Watanzania. Muulize Sabaya atakuambia, alienda mahakamani akakutana na kundi la Watu wanamzomea.
 


Ujinga anatafuta huruma arudishe nyumba ya watu. Afanye kazi nani ana shida ya huyu looser๐Ÿค”
 
Bashite ametonywa file lake la uhujumu uchumi liko mezani ndiyo ameanza kurusha miguu kama kuku aliyekatwa kichwa kwa kutoa defence za kitoto kama za sabaya.
Last kicks of a dying horse๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mr Zero ajiandae tu sisi sio vipofu ile video pale clouds ni matumizi mabaya ya ofisi we must condemn it.
 
Naona kaona maji yanakaribia shingoni, sasa anatafuta huruma ya jamii; aende Clouds akafanye press kama alivyofanya Sabaya ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ