Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Makonda anataka kuaminisha Dunia kuwa Marekani walikuwa ni waongo!🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtamuombea mabaya sana Makonda lakini hayatampata kamwe! Mwenyezi Mungu wa Isaka na Ibrahim atamhifadhi!
Leo Bashite ndio amekuwa ametaka kumuua Lissu ? na yule jamaa humu mliyesema few weeks ago aliyemshambulia Lissu hausiki tena ?
Acheni kumsingizia Bashite,issue ya Lissu ni Jiwe ndiye alipayuka maneno ya kuashiria Lissu achapwe risasi.Taifa hili hatujui tunataka nini wewe ni kama wale jamaa humu asubuhi walikuwa wanawatetea TISS kwa kumnyanyasa dogo fulani
Hata kama tuseme basi Lissu shambio lake lilipangwa na Bashite nduo auwawe ? kwanini asipelekwe mahakamani ahukumiwe ?
Mbowe alibebeshwa kesi kihuni tukapiga kelele sana humu,leo mnashabikia na Bashite abebeshwe kesi which Means mnapenda haya mambo ya kubambikiana makesi
Narudia tena,Lissu damu yake kuna uwezekano mkubwa ilimwagika kwa sababu ya kauli ya jiwe,muacheni Bashite kwenye hili Mkuu
Someone help me please. Hiyo post ya insta kama imeandikwa na mwanafunzi wa kidato cha pili.
Eti kina nikilefu! Alipenya vipi hadi ukuu wa mkoa?!
Tatizo aliyafanya hayo kwa ujambazi,na aliyekuwa anamkingia kifua,na yeye alikuwa jambazi,sasa akae kimya asubili kunyolewa,yeye alifikiri Jiwe atadumu milele Madarakani?Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Pamoja na tofauti zilizopo.....
Komredi Paulo Makonda asihukumiwe kwa kazi alizozifanya akiwa chini ya UTAWALA WA AWAMU YA 5..........
Kama kiongozi wa zamani ana haki kupaza sauti dhidi ya HUJUMA zozote zilizo juu yake......
Kama taifa tuna mengi mno ya kufanya kwa ajili yetu watanzania na vizazi vyetu zaidi ya NONGWA za makundi ya kisiasa yasiyo na afya yoyote.......
Mwenyezi Mungu akulinde wewe na familia yako ndugu Paulo Makonda ,aaaamen aaaaamen aaaamen🙏
#Siempre JMT🙏
#Yetzer Hatov🙏
#Do Not Do Harm🙏
paulo kafanya kazi kubwa kweli kulit3ngenezq jj la dar .yeyote atakayejidanganya kutaka kumdhuru au kumpachikia li kesi la kizandiki,Basi awe tayari kwenda Burundi forever!!
Wanasema "Nguvu ya Mamba iko Kumaji"Ama kweli nguvu ya mamba ni maji...
Aliyekuwa RC wa Dar es salaam, Paul Makonda anasema kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua.
Ameandika hayo kupitua ukurasa wake wa Instagram na kusema Makundi hayo ni pamoja na Wauza Madawa ya kulevya, mashoga nk
Ameandika “
Nafahamu kuna mkakati unaoratibiwa na Makundi 5 kuangamiza maisha yangu.
1) WAUZA MADAWA YA KULEVYA
2)WANUFAIKA NA MADAWA YA KULEVYA
3) MASHOGA
4)WANAOKESHA USIKU KUCHA KUTAFUTA KULIPA KISASI KWA WASAIDIZI WA DR MAGUFULI.
5) WALIOWAHI KUWA SEHEMU YA ……. Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida ya familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi.
Mambo mawili najiuliza
1)PAMOJA NA KAZI ZOTE NZURI NILIZOZIFANYA KWA CHAMA CHANGU,SERIKALI YANGU NA WANANCHI WA DAR HAYA NDIYO MALIPO YAKE?
2)Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndiyo malipo yake ?
MTU aliejemga hospital , aliejenga ofc cha CCM, Magari ya police 👮♀️, ofc za Walimu, vituo vya police, shule za secondary mpaka na msingi, kutibu wagonjwa mpaka Meli kuja Tanzania,kuhudumia Makundi mbali mbali mpaka kuiunganisha Serikali na Viongozi wa Dini. leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa.
Pamoja na kwamba lipo kundi kwenye mitandao linalolipwa ili kuwaanda watanzania pale watakapo nikamata ionekane ni sawa. Hakika ipo siku Walemavu, yatima, wajane na waliotamani watoto WAO wasife kwa MADAWA ya KULEVYA SAUTI ZAO ZITASIKIKA.
#Ukiona maji yametulia jua kina nikilefu.”
Last kicks of a dying horse😂😂Bashite ametonywa file lake la uhujumu uchumi liko mezani ndiyo ameanza kurusha miguu kama kuku aliyekatwa kichwa kwa kutoa defence za kitoto kama za sabaya.