Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

"#ukiona maji yametulia ujue kina kilefu"
kuna mchezo wa karata unaitwa last card
 
 
NASEMA WAZI.
"HAKUNA MTANZANIA ANAYEKULA RAHA KAMA MIMI ! HAKUNA.",
Hayo tu! Mpoo!.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Unajielezea sana.
 
Kama anaogopa kweli basi atafute nchi ya kuhamia kama mkimbizi. Hii nchi inaelekea kuwa kama Pakistan, watu wanalipizana visasi kila kukicha.
 

Moja kati ya majibu ya Tuco alikuwa akimwambia blondie kwenye the good, the bad & the ugly. Sasa hii ndo angemwambia makonda
 
Makonda kaa Kimia, wewe ni unyama GANI umewatendea watz ? Mpaka kupigwa burn na USA, siku Sabaya anaanza lalamika nilisema namfuta katika ulimwengu wa kiroho kuanzia nywele mpaka unyayo na wewe nakwambia fungal siku 21 na tubu mbele za Mungu ,uza mali zote ambazo unajua hukupata kihalali na Iyo pesa wapatie watu wenye huitaji , vinginevyo Dunia utaiyona chungu ,

 
Amewasahau wafia Tindiliso
 
Yaani binadamu, ameshasahau alivyokuwa anabambika watu kesi na kuwalaza ndani kama mbwa wake, kumbe muoga wa kutupwa, aendelee na ujasiri wake akapambane na jela. Pale clouds alipoingia na mabunduki so alijiandaa kuua? Kumbe yeye anaogopa kifo?
Manara pia juzi alisema Paul alimsweka ndani masaa 48 jela
 
Zingekuwa hizi ni zile enzi wa binadamu washenzi barbarians, Makonda angekamatwa auliwe hadharani.

Hapo alipo anaishi kwa kudra tu. Sijui anapata wapi ujasiri wa kulalamika huko Instagram
 
Maisha yanaenda speed ya hypersonic missile...Brother ulishayakanyaga ilikuwa ni suala la muda tu.
Dj waleeeteee!..
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…