Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

My views on Makonda issue

Mosi, CCM mpya ya awamu ya sita ni lazima ifanye kitu kumuadabisha makonda kutafuta popularity kwa wananchi

Suala la demokrasia na utawala bora haswa issue ya Lissu na mengineyo ya kijangili ya kuteka watu, kunyanganya watu magari,viwanja, fedha kwa mgongo wa jamhuri yaani makonda alifanya kazi nje ya mfumo bila kubugudhiwa wala kuhojiwa yaani alikuwa na Taskforce yake ya akina kisanduku. Wanachi na wahisani wote wanakaribisha mchakato wa haki kwa hivyo ni lazima Makonda awe accountable kwa madhila aliyoyatenda.

Makada , viongozi, na watumishi wengine wote ambao alitofautiana nao wana nafasi ya kumrudishia hekaheka alizosababisha. Makonda aliwahi kumkaripia Daniel chongolo kikaoni na kumtoa nje wakati akiwa RC.

Pia amejimilikisha sana viwanja vizuri hapa Tanzania ilihali vilikuwa na wamiliki halali kuna eneo Mbezibeach Jangwani sea breeze mtaa anaoishi Balozi Mpungwe Makonda kamiliki kiwanja kinatazama bahari ilihali kilikuwa na ugomvi kati ya Mama Kigoda na mhindi mmoja hivi.

Crime does not pay. Wananchi sasa wanahitaji Katiba mpya si kwa sababu itatatua matatizo yote lakini watu wanahitaji uwazi na uwajibikaji ulio na mipaka, worstcase scenario watu wote waliomsaidia kufika alipofika akina Rizione and company ndio wameshika usukani. The guy must be going through halucinations and imagination akiingia Ukonga akamkuta Babu Chonji ndio Taita, au Nsembo itakuwaje

Watu wanahitaji uchumi himilivu kwa wote sio wengine wanateuliwa tuu halafu wanaishia kupiga picha kwenye vikao, hakuna sababu ya kuwa na RC, Ded,Dc mkoa mmoja hawa wanamliza pesa tu ambazo zingeelekezwa kulipa madaktari vizuri watoe huduma nzuri kwa wananchi.
 
Mhukumu ni mwenyezi Mungu.
 
Siku akirudi kwenye ulingo wa kutawala nazani utahama nchi,, haha.
 
Walifanya kwa namna yao.. sio lazima wote tulingane.
 
Haya ndio matatizo ya kuokota majitu huko majalalani na kuyapa uongozi , jamaa alijikuta Mungu mdogo yani alifika kipindi alipata kibri mpaka akasahau kama kuna hata kufa. Malipo ni hapa hapa ili watu wajifunze kuheshimiana , kuwa na kiasi, lakini pia kuwa na ubinadamu hasa pale unapopewa madaraka. Hii inaitwa Heshimu watu Sponsa Hufariki.
 
Dr. Magufuli
Ndugai
Lukuvi
Polepole
Bashiru
Kalemani
Sabaya
Bashite
Chalamila

Chain ni ndefu ila Mzee amewaaacha pabaya sana vijana wake.
Acha ufala sasa unamwachaje Ali happi
 
Sio kusukumiwa JK !! Ukweli ni kwamba kwa hakika awamu ya mwisho ya Jk ndio iliyoanzisha Utesi wa kisaikolojia kwa mahasimu wao waliokuwa wakiukosoa utawala wa Jk ! Na ikaenda mbali zaidi mpaka Makonda akamdhalilisha Mzee Warioba mbele ya watu na camera zikiwepo kisha baadaye kidogo Makonda akazawadiwa Ukuu wa wilaya !! Please msiwe wasahaulifu kiasi hicho !! Ndio maana wahenga walisema usiangalie ulipoangukia, angalia ulipojikwa !! Mambo yalianzia awamu ya NNE ilipoingia awamu ya tano ilikuwa ni muendelezo na maboresho tu !!!
 

Ok mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…