Paul Makonda: Kuna makundi matano yanataka kuniua, likiwemo wanaotafuta kulipa kisasi kwa Wasaidizi wa Magufuli

Paul Makonda aibuke live aitishe press conference na kutoa dukuduku lake kuhusu wabaya wake kisiasa na kijamii. Paul Bashite Makonda ajitokeze kama alivyojitokeza meya Juma Raibu kuhusu jinsi CCM ilivyo katika makundi ya CCM-Yao na CCM-Mpya inavyokitafuna chama-kongwe-dola

11April 2022
Moshi, Kilimanjaro
Tanzania

Juma Raibu mwanaCCMmpya kule Moshi, meya aliyengolewa amezungumza bila kupepesa macho kuhusu wabaya wake

 
Life tu
Anadhani tumesahau ushenzi aliyoifanya Dodoma kwa baraka za yule mshenzi aliyeng'olewa roho na malaika wahuni.
Mungu akikuchoka anatuma malaika wahuni wakutoe roho.
Ni suala la muda mfupi tu roho yako itatolewa wewe Makonda
Pia sioni chance yoyote Kwa wale waliofanya udhalimu kupona na kubaki salama!! Sabaya, Ndungai, Ali Hapi, List ni ndefu, Bado Konda
 
Pole sana Bw. Makonda.

Bahati mbaya hayo makundi ndio ya wale uliowapa kesi ya uhujumu uchumi. Sasa DPP amewaachia wanataka walipize maana huna tena power.
Yaani binadamu, ameshasahau alivyokuwa anabambika watu kesi na kuwalaza ndani kama mbwa wake, kumbe muoga wa kutupwa, aendelee na ujasiri wake akapambane na jela. Pale clouds alipoingia na mabunduki so alijiandaa kuua? Kumbe yeye anaogopa kifo?
 
 
 

ILE KESI YA KIWANJA NA HOME SHOPPING CENTRE IMEISHAJE?
 
Ngoja tuone kama Polisi wataifanyia kazi hiyo taarifa ya mtandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…