Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
https://2017-2021.state.gov › public...
Public Designation, Due to Gross Violations of Human Rights, of ...
31 Jan 2020 — The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, ...
Pia sioni chance yoyote Kwa wale waliofanya udhalimu kupona na kubaki salama!! Sabaya, Ndungai, Ali Hapi, List ni ndefu, Bado KondaLife tu
Anadhani tumesahau ushenzi aliyoifanya Dodoma kwa baraka za yule mshenzi aliyeng'olewa roho na malaika wahuni.
Mungu akikuchoka anatuma malaika wahuni wakutoe roho.
Ni suala la muda mfupi tu roho yako itatolewa wewe Makonda
Yaani binadamu, ameshasahau alivyokuwa anabambika watu kesi na kuwalaza ndani kama mbwa wake, kumbe muoga wa kutupwa, aendelee na ujasiri wake akapambane na jela. Pale clouds alipoingia na mabunduki so alijiandaa kuua? Kumbe yeye anaogopa kifo?Pole sana Bw. Makonda.
Bahati mbaya hayo makundi ndio ya wale uliowapa kesi ya uhujumu uchumi. Sasa DPP amewaachia wanataka walipize maana huna tena power.
Kwani Instagram ndio police post mpaka anaenda kuripoti huko?
Au nae leo hawaamini polisi? haya maisha siku hizi yanaenda kasi sana.
Anyway nikimsoma maandiko yake, psychologically Makonda is not ok, anaonekana ana msongo wa mawazo, anajua his days are numbered.
Toa ushahidi nyambafkwani waliohusika kwenye shambulizi dhidi ya Lissu ni akina nani?
Kwani Instagram ndio police post mpaka anaenda kuripoti huko?
Au nae leo hawaamini polisi? haya maisha siku hizi yanaenda kasi sana.
Anyway nikimsoma maandiko yake, psychologically Makonda is not ok, anaonekana ana msongo wa mawazo, anajua his days are numbered in whichever way.