wenye gubu na chuki hawawezi mpenda, wala kumkubali daima, na hilo liko bayana, analijua kijana yule mchapakazi, na for your information, hawezi babaika nao ng'oo. Anakwenda kufanya kazi, full stop πMimi namjuwa kuliko wee unavyomfikiria na kumuandika
Kuna watu humu wanawajuwa watu syo kwa kuwasikia tu bali
Kuwafahamu
Ndomana nakuambia huyo makonda ni mpenda misifa kitambo tu
Ova
Tena hukohuko walisherehekea saaana!Nchi kusimama? Alikufa magufuli nchi haikusimama unaongea nini wewe?
Mwambieni aende Marekani akapojelewe kishujaaNdugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..
Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..
Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.
Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Wana CCM wamesombwa kutoka maeneo mbalimbali kwa mafuso kama viazi au vitunguuNdugu zangu Watanzania,

Hajitambui huyo chawaNchi kusimama? Alikufa magufuli nchi haikusimama unaongea nini wewe?
Umerogwa wewe chawaHakika arusha inakwenda kupata lile jina lake kwa mara nyingine geneva ya africa!
Arusha siyo Chato wala KoromijeHakika arusha inakwenda kupata lile jina lake kwa mara nyingine geneva ya africa!
Wachana na mlevi huyo eti ana akili zake anajiita CHAWAMbona mimi nipo hapa na sioni hayo unayoyasema ndugu mleta uzi?
kidume kweli kweli.All the best kijana,chapa kazi.Wadau hamjamboni nyote?
Matangazo mbashara muda huu kutokea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha
Paul Makonda Mkuu Mpya wa Mkoa Arusha anakabidhiwa rasmi ofisi
Kazi inaendelea
Atakuwa kasahau huyoooDogo hujaweka namba yako ya simu labda kuna siku utakumkwa.
Hakuna aliyesomewa hata mmoja bali watu wamehudhuria kwa hiyari yao wenyewe na matumaini makubwa waliyo nayo kwa Mwamba Mwenyewe Makonda.Wana CCM wamesombwa kutoka maeneo mbalimbali kwa mafuso kama viazi au vitunguu
Kazi akafanye si kazi yakewenye gubu na chuki hawawezi mpenda, wala kumkubali daima, na hilo liko bayana, analijua kijana yule mchapakazi, na for your information, hawezi babaika nao ng'oo. Anakwenda kufanya kazi, full stop π
Luca hayo mambo yakuchoma kodi zetu ya kizamani,kwa fahari ya Ntu π.Ndugu zangu Watanzania,
Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.
Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..
Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..
Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.
Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
sifa ni zake ujuaji ni wako tulia sasa πKazi akafanye si kazi yake
Point nnayosema,ni mpenda sifa
Ova
Kodi zetu zinatumika vizuri kabisa kwa maendeleo na ustawi wa Taifa letu.Luca hayo mambo yakuchoma kodi zetu ya kizamani,kwa fahari ya Ntu π.
Agizo la kwanza nyumba zote zipakwe rangi mjini utajua tu kama sio koromije!Arusha siyo Chato wala Koromije
Luca njoo tuwekee namba ya simu hapaπAtakuwa kasahau huyooo
Anawaaibisha sana unaonekana mkoa wa washamba wasojtambuaHadi naona aibu,sijui mmalila wa wapi huyu jamani?
Hayo yatawezekana akifanya siasa safi.Jiji la Arusha linakwenda kupaa kwa kila kitu, kuanzia uchumi wa ndani,makusanyo,utalii, biashara,mapato n.k.
Nilikuwa nasubir report ya Lucas huko Arusha.Ndugu zangu Watanzania,