Paul Makonda kupokelewa kishujaa Arusha, Magari ya msafara yafurika uwanja wa ndege kumsubiri atue

Mimi namjuwa kuliko wee unavyomfikiria na kumuandika
Kuna watu humu wanawajuwa watu syo kwa kuwasikia tu bali
Kuwafahamu
Ndomana nakuambia huyo makonda ni mpenda misifa kitambo tu

Ova
wenye gubu na chuki hawawezi mpenda, wala kumkubali daima, na hilo liko bayana, analijua kijana yule mchapakazi, na for your information, hawezi babaika nao ng'oo. Anakwenda kufanya kazi, full stop 🐒
 
Nchi kusimama? Alikufa magufuli nchi haikusimama unaongea nini wewe?
Tena hukohuko walisherehekea saaana!
Sasa anapelekwa mhalifu kipenzi cha mama, sijui itakuwaje,,,
 
Ndugu zangu Watanzania,

Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.

Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..

Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..

Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.

Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Mwambieni aende Marekani akapojelewe kishujaa
 
Wana CCM wamesombwa kutoka maeneo mbalimbali kwa mafuso kama viazi au vitunguu
 
Hakuna aliyesomewa hata mmoja bali watu wamehudhuria kwa hiyari yao wenyewe na matumaini makubwa waliyo nayo kwa Mwamba Mwenyewe Makonda.
 
wenye gubu na chuki hawawezi mpenda, wala kumkubali daima, na hilo liko bayana, analijua kijana yule mchapakazi, na for your information, hawezi babaika nao ng'oo. Anakwenda kufanya kazi, full stop 🐒
Kazi akafanye si kazi yake
Point nnayosema,ni mpenda sifa

Ova
 
Ndugu zangu Watanzania,

Arusha kumekucha,kanda ya kaskazini imesimama, wananchi wanatetemeka kwa furaha, shughuli zote zimesimama, habari ni moja tu, stori ni moja tu ni juu ya ujio wa Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana jasiri kusini mwa jangwa la sahara.

Imeshuhudiwa magari ya watalii na kitalii yakiwa yamefurika kwa wingi uwanjani kwa ajili ya kumsubiri Mwamba atakapotua uwanja wa ndege ,ili kuweza kumlaki na kumpokea na kuongoza msafara mzito wa Magari kuwahi kushuhudiwa ndani ya jiji la Arusha kuelekea ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa ajili ya makabidhiano ya Ofisi..

Vijana na wananchi wa Arusha wamejawa na furaha na matumaini makubwa sana juu ya ujio wa Mwamba. Ni gumzo kila mahali,ni shamra shamra kila kona,ni mshike mshike kila sehemu juu ya mapokezi ya Mwamba Makonda jasusi na komando wa vita, field Marshall aliyetangaziwa Mwisho na maadui zake lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio mkuu na wa ushindi..

Leo nchi kusimama na macho na masikio ya watanzania wote kuelekezwa Arusha na kanda ya kaskazini.upinzani wanatetemeka utafikiri wagonjwa wa homa kali,moja haiendi wala mbili haisomi,upinzani hasa CHADEMA wote wanabubujikwa machozi ya huzuni ya kuona mwisho wao kisiasa ukiwa umewadia.

Endeleeni kutulia kufuatilia kitakachojili na kitakachozungumzwa na Mwamba Mwenyewe Makonda . nitaendelea kuwaleteeni kila kitu na kila habari na kila neno litakalo toka kinywani mwa Mwamba Mwenyewe Makonda Jabali la siasa.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

Luca hayo mambo yakuchoma kodi zetu ya kizamani,kwa fahari ya Ntu 😁.
 
Nilikuwa nasubir report ya Lucas huko Arusha.
 
Back
Top Bottom