Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

Status
Not open for further replies.
Kwa desturi ya siasa usistaajabu huyo Makonda anaeitwa kipenzi cha raisi akaja kuwa mpinzani mkubwa wa raisi huyo huyo ikifika hiyo 2020. Kwenye siasa siku moja tu inatosha kufanya mabadiliko yasiyotarajiwa.
 
Hilo litakua janga la kitaifa/kimataifa
 
Makonda ni Mzanzibari ?
 
Dunia duara kuna kitu inaitwa upepo ya kesho ni fumbo,
 
Dah ! Mleta mada umeniangusha sana. Yaani hata ABC za katiba ya nchi yako huzijui ? Story za walevi vijiweni hizi
 
Kuna thread nyingine hazina hadhi ya kujadiliwa . Mods fyeeeeekelea mbali
 
Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwenu
Mtu mwerevu akikwambia jambo la kipumbavu na wewe unajua ni jambo la kipuuzi ila bado ukaendelea kuliamini, atakudharau maradufu -JK Nyerere
 
Yaani rais awe membe alafu makamu makonda? Huwezi kuwa upo serious bro
 
Mawazo yako yamegongana na yangu ili mwaka 2025 makonda anapewa nchi!
 
My first semester in med school, my prof. told me don’t worry son you don’t have to be a doctor to operate on a cadaver.
 
Hii tetesi lengo lake ni kutuambia kuwa mama Samia ndio atagombea kile Zanzibar
 
Gemu utakuwa ile ile Rais Dkt JP, Makamu Mama Samia, Mh.Paul ataendelea na Dar es Salaam, pengine atahamia Dodoma au Mwanza endapo Rais atafanya mabadiliko.
 
Kwa samia kuwa mgombea zenji inawezekana ila kwa Makonda umebugi sana,

Yaan hii tetesi hata Magufuli atakuwa anaishangaa maana ataiona hapa JF haha, itamfanya ayaache mafaili yanayomzonga kitandani kwanza aitafakari
hahhahhahhahhahhahhahhah😀😀😀😀 Asemavyo umejua kunichekesha.
 
Daaah kwahiyo watabadilisha katiba kipengele cha umri ?
Halafu unamaanisha Raisi atatoka Zanzibari mwaka 2020 ?
Makamu wa Raisi atakuwa na miaka 38. Sikupingi kabisa, lolote linawezekana Tanzania.
Nimeshangaa kuona mtu ameshindwa kuona hata mambo madogo kama hayo!! Yaani hata vifungu muhimu vya katiba yetu watu ni kama hawavijui!
 
Cookc mfD fn g kV cj cnzf/r ,amx
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…