Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni lini na wapi uliandika baada ya Rais Samia kudhalilishwa na Mange kwamba Anasagana?

Kwahiyo Samia kama mwanamke mwenzio kudhalilishwa kwako ni Shega,ila wanawake wenzio huko Bushi kudhalilishwa kwako si shega!
 
Hoja yako ni ipi?
 
watu wa hivi si wa nafiki kabisa!

Ogopa wale wanaojifanya wanamaneno matamu na ya kidiplomasia
 
Zamani mlisema JPM anampa kiburi Makonda,sasa hayupo na tuna SSH bado mnalalama,na bado haji maji myaite mma.
 
Huyo mama aliyetukanwa hadharani na Makonda ni mwakilishi wa Mange Kimambi? Ndiye aliyemtuma Mange kufanya alichofanya?
Hajamtukana, amemweleza ukweli tu. Watanzania munapenda maneno kuliko kazi. Maneno haya kuliko kazi, ndio yametawala ofisi za serikali. Kwa lugha nyingine tunayahita majungu.

Amos Makalla yupo wapi kwenye uenezi.? Hawezi kaz, anaweza maneno na majungu tu. Hata huyu Chatanda anaweza maneno na majungu tu.

Sirahisi Tanzania kuendelea kwa kuwa kazi ya mtu inapimwa kwa uwezo wa majungu na sio kaz zake.
 
Unaongelea kazi au kiki?
 
Kuna wakuu wa Mikoa wangapi nchi hii? Shida ni yeye kuwa na mdomo mchafu......hatuhitaji kiongozi mshushuaji, yeye mbona alivyoshushuliwa kuhusu vyeti alipita analia lia kila Kona.
Angeweza kumhoji na kuibua madudu bila kuutweza utu wa Yule dada.
Afadhali ni mshushuaji na pia ni mchapa kazi. Tunahitaji zaidi uchapaji kazi sio majungu mnayoleta hapa.
 
Ww tulia ndugu sindano ikuingie. . Toka nikuone humu JF miaka mingi iliyopita bado haujaacha majungu mkuu.? Tunataka kazi zaidi sio kelele za midomo. Yaan huyu Makonda mnamwogopa sana.
 

Ukitazama utaona kabisa kamtaja rais ili wapiga mapambio wenzake wamuogope. Rais ametukanwa na mkuu wa mkoa gani? Yeye ametukana kama sehemu ya kumtetea rais? Rais anahusika vipi na kejeli yake kwa yule dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…