econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Yupo imara kwenye msingi wa mchanga. Ataanguka anytime.Makonda yupo imara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo imara kwenye msingi wa mchanga. Ataanguka anytime.Makonda yupo imara
Aiseeh! Wewe si ndio chawa wa Makonda. Kila siku unawaza nyuzi za kumuabudu Makonda.Unadhani Makonda yupo kama ninyi machawa anajivunia uchapakazi. Makonda hata akifungua kanisa apata waumini wengi.
Msipende kumhusisha Mungu na mambo ya Kijinga. Tofautisha kiki za kisiasa na wito wa Mungu.Kumbe shida, ni Makonda kuwa mkuu wa mkoa??? Yaan, mnapoteza muda bure!
Huyo ni mtumishi wa, Mungu anakwenda kuwa mtu mkubwa sana hapa Bongo. Sijui ndio wenye wivu mtajinyonga.?
Makonda ni kiongozi mwenye vipawa vingi sana.Aiseeh! Wewe si ndio chawa wa Makonda. Kila siku unawaza nyuzi za kumuabudu Makonda.
Wewe utakua ni kiongozi bossMsipende kumhusisha Mungu na mambo ya Kijinga. Tofautisha kiki za kisiasa na wito wa Mungu.
Kwa hivyo mama Samiah ni jambazi na muuaji.Unazijua Sifa za Kiongozi wa duniani Lakini?
Hakunaga Kiongozi asiye Muuwaji na Jambazi duniani Kote tokea enzi za Agano la Kale
Combination halisi ya science 🤔Paul Christian Makonda
Sijui zamu y nani kudhalilishwaKesho Monduli
Ww wasema hivyo!!Msipende kumhusisha Mungu na mambo ya Kijinga. Tofautisha kiki za kisiasa na wito wa Mungu.
Yule madam alikosea wapi?. Mbona hakuna na kosa mpaka mwisho. Shida aliongea sauti ndogo ndio kudhalilisha.Kuna tofauti gani kati ya kauli ya Rais Samia aliposema Nosense hadharani kwa watumishi hao hao wa umma..na hiki alichosema Makonda kwa huyu mtumishi? Ni ujinga kutaka hadhi baada ya kukosea, nani anajua madhara ya uzembe uliosababishwa na huyu mtumishi..Kama hupendi matumizi ya lugha ngumu kwa watumishi, waambie wafanye wajibu wao kikamilifu, hutasikia kiongozi anatukana!
Hivi yule dada alikuwa na kosa gani?. Kuongea sauti ndogo? Maana hata Makonda hakumpata na kosa.Hoja Ni makonda kumdhalilisha yule mwanamke..
Kiuhalisia watumishi mbali mbali wa sampuli hiyo wamekua mwiba na kusababisha serikali kulaumiwa na wananchi
Akitokea kiongozi mmoja mkali wa kutumia lugha ngumu kumkemea na kumuhoji huyo mzembe mmoja Kama ilivyo kwa makonda au kwa kumbukumbu the late JPM kelele zinaibuka nyingi sanaa
All in all Kuna watu hutakiwa ku swagwa Kama mang'ombe au WANYAMA mwitu ili wafanye Jambo makonda yupo sahihi Sanaa
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi.
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji.
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli.
Hivi huko chadema kuna mtu hata mmoja anaakili kweli??Hivi yule dada alikuwa na kosa gani?. Kuongea sauti ndogo? Maana hata Makonda hakumpata na kosa.
Gwajima njoo hapa ufunge kazi!Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.
---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi.
Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji.
"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli.
Tukatae udhalilishaji. Sio kwa Makonda tu hata Viongozi wengine.Kama kuna mtu kadhalilishwa sheria ziko wazi mahakama ziko huru, fungueni jalada la udhalilishaji dhidi yake, kama hamuwezi nyie ni wachawi tu,
Mmemuita mwizi, jambazi dhulmati, sijawahi ona kesi hata mooja dhidi yake leo ni miaka minne, haumoni ya kwamba wewe na wenzako ni mapunguani?
UWT,LHRC na wewe pia saidieni huyo mdhalilishwaji kufungua jalada, pathetic!