Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Propaganda za US na washirika wake hizo,wachana nazo,dunia ya leo hii utamdanganya nani.China ,Korea,Russia tumekuwa tukiambiwa zinatawaliwa na madikteta,sisi wenye democrasia mbona umaskini umetamalaki?
Kwamba Sina uwezo wa kusoma na kuelewa Hadi nisijue propaganda ni zipi? Sisi tuna demokrasia gani boss?
 
Hajamtukana, amemweleza ukweli tu. Watanzania munapenda maneno kuliko kazi. Maneno haya kuliko kazi, ndio yametawala ofisi za serikali. Kwa lugha nyingine tunayahita majungu.

Amos Makalla yupo wapi kwenye uenezi.? Hawezi kaz, anaweza maneno na majungu tu. Hata huyu Chatanda anaweza maneno na majungu tu.

Sirahisi Tanzania kuendelea kwa kuwa kazi ya mtu inapimwa kwa uwezo wa majungu na sio kaz zake.
Sawa mkuu lakini ujue hata wewe ni mzuri kuliko mke wa Makonda. Angekuona wewe kabla ya mke wake wa sasa angekuoa wewe mapema sana. Sasa hivi angekuwa amekuzalisha watoto 5.
 
Kama kuna mtu kadhalilishwa sheria ziko wazi mahakama ziko huru, fungueni jalada la udhalilishaji dhidi yake, kama hamuwezi nyie ni wachawi tu,

Mmemuita mwizi, jambazi dhulmati, sijawahi ona kesi hata mooja dhidi yake leo ni miaka minne, haumoni ya kwamba wewe na wenzako ni mapunguani?

UWT,LHRC na wewe pia saidieni huyo mdhalilishwaji kufungua jalada, pathetic!
Wewe bila shaka utakuwa mzuri kuliko mke wa Makonda. Unatamani angekuoa wewe akuinamishe akuzalishe watoto mapacha.
 
Ndio tunamtaka Kiongozi wa aina yake 😂😂😄
Utarushwa kichurachura na uzee wako
Kama magufuli alivyowarusha kichurachura akina na salma kikwete, membe, makamba , na kinana

Madikteta wote Hujifanya watetezi wa wanyonge
 
Punguza mazoea, CHADEMA imeingiaje hapa?. Mimi nilisikiliza mahojiano yao mpaka mwisho yule dada hakuwa na kosa la kinidhamu lolote.
Kuna mtu yeyote anaakili chadema?? Jibu swali?
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti, nasikia wanaangaika na mitandao.

---
Akiwa wilayani Monduli RC Makonda amesema yeye hajali kelele za wanamitandao bali ataendelea Kuchapa Kazi kwa kuwatumikia Wananchi.

Makonda amesema yeye siyo mtu wa kubembeleza.watu bali anasimamia Uwajibikaji.

"Wale wanaopiga kelele waendelee tu kwangu ni sawa na ule Muziki wakati wa kufanyiwa masaji" amesema Makonda huku akishangiliwa na Makamanda hapo Monduli.

PIA SOMA:
- LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi

- Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko
Ukirusha jiwe gizani kelele Ndio zinakujulisha kuwa kulikuwa na watu huko
 
Kauli Aliyoitoa Daud Albert Bashite (Paul Christian Makonda) Leo Huko Monduli Amewajibu Wote Kwa Mkupuo Mmoja Na Amewaonya Kukaa Kimya. Hata Akina CCM Wamefyata
 
Back
Top Bottom