Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anajitetea tu kama ni mla rushwa takukuru wameanza kumchunguza huyo mama? Au yeeye ndio kamati ya nidhamu kuadhibu wavivu?5
 
Ni bahati mbaya sana kuwa watanzania huwa hawawezi kufanya kitu bila kukoromewa.

Ushahidi ni elimu zetu za awali na msingi ambapo mwalimu bila kuwa na kiboko mambo hayaendi....

Wanahitajika watu kama Makonda 1000 ili wafanyao kazi kwa mazoea Serikalini wanyooke.
Alianza Magufuli na kazi tuliiona.... Makonda anapita mule mule! .... Kaza buti Makonda, wanyonge wote wanakuelewa na kwa bahati nzuri ndio wengi....Wengi wape!!
 
Hivi wale wabunge wanaoitwa COVID 19 ule ni udhalilishaji au sio udhalilishaji !
 
Kumbe shida, ni Makonda kuwa mkuu wa mkoa??? Yaan, mnapoteza muda bure!

Huyo ni mtumishi wa, Mungu anakwenda kuwa mtu mkubwa sana hapa Bongo. Sijui ndio wenye wivu mtajinyonga.?
Msipende kumhusisha Mungu na mambo ya Kijinga. Tofautisha kiki za kisiasa na wito wa Mungu.
 
Tumesikia mpambe mmoja tu anajichekesha chekesha kwa sauti
Hao makamanda mbona wakavu tu
 
Yule madam alikosea wapi?. Mbona hakuna na kosa mpaka mwisho. Shida aliongea sauti ndogo ndio kudhalilisha.
 
Hivi yule dada alikuwa na kosa gani?. Kuongea sauti ndogo? Maana hata Makonda hakumpata na kosa.
 
Paul christian makonda Rais ajae wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Awamu ya 7 au ya 8.
 
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Gwajima njoo hapa ufunge kazi!
 
Tukatae udhalilishaji. Sio kwa Makonda tu hata Viongozi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…