Pre GE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kiburi huzaa majuto,wanaokusifia Leo kesho hutowaona
Sidhani kama ni kiburi ila mambo kama haya hujayazoea na hata ukizoea utaona si sawa kwa mtu kuambiwa ukweli.

Bahati mbaya kuna wengine tuna roho flani flani kwa watu wengine!.
 
Umesema ukweli kabisa!
 
Alitukanwa kwa Apu kuwa anasaga nafaka na yule mudada WA Amerika.
Aache uwongo wake lini na wapi Rais ametukanwa? Alizusha kuwa kuna mawaziri wanamtukana Rais na akaahidi kuwataja baada ya siku tatu sasa mwezi wa pili huu hajawataja. Mzushi sana huyu mwizi wa vyeti
 
Na hata alipovamia ofisi za CLOUDS MEDIA talanta yake tuliona😂💔🚮
Tatalanta yake ilionekana wazi hasa pale alipomdanganya mfanyabiashara eti Magufuli anataka ajengewe mjengo kumbe ilikuwa janja yake ya kujipatia mjengo kwa mgongo wa jina la Rais.
Talanta za huyu Mwehu zipo nyingi kweli kweli usisahau usafiri wa Punda,Mikokoteni,Tractor.........Mbwiga hapoi.
 
Aache uwongo wake lini na wapi Rais ametukanwa? Alizusha kuwa kuna mawaziri wanamtukana Rais na akaahidi kuwataja baada ya siku tatu sasa mwezi wa pili huu hajawataja. Mzushi sana huyu mwizi wa vyeti
Acha kujitoa akili.. mtandaoni huko mange kimambi alikua anaandika nini? Uliona taasisi yeyote ikitoa tamko?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…