PreGE2025 Paul Makonda: Msigeuze makanisa kuwa viwanja vya siasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ilanyie ndiyo mgeuze jukwaa la siasa kujifanya wachungaji. Wewe ni kihito hujui kitu siasa na dini haziwezi kutenganishwa. Ukitaka kujua hilo FOR WHOM IS RELIGION AND FOR WHOM IS POLITICS. BOTH ARE MANKIND
 
Safi sana . Kanena ukweli mchungu. Naamini viongozi wa Dini watakuwa wamefikiwa na ujumbe huu mzuri kabisa na wenye upako
Mbona wamina mwamposa,mufti wakina kuhani musa wanafanya siasa na kumsifia rais

Ova
 
Huyu mama katoka kwwnye mfungo juzi tu hapa lakini anataka kutuletea uchaguzi usio wa haki, mnafki!.
 
Unaachaje kutangaza uasi kwa majizi ya kura?
Sasa mnalia lia nini mnashindwa kulinda kura zenu? Katika kosa mlilolifanya ni kumchagua Braza K ambaye hawezi kuongoza hata nyumba kumi.
 
Sasa mnalia lia nini mnashindwa kulinda kura zenu? Katika kosa mlilolifanya ni kumchagua Braza K ambaye hawezi kuongoza hata nyumba kumi.
Tulinde kura zetu vipi wakati hatuna silaha? Maana wizi wa kura na kunajisi chaguzi hufanywa na vyombo vya dola ambavyo huwa vina silaha za moto.
 
Watanzania sio wajinga tena, yeye katumia jukwaa gani kuyasema hayo?
 

DAB ni hopeless, zero brain
 
Hoja nzuri ila lengo baya,

Hapo kinachokatazwa ni kuwaunga mkono wapinzani ila kwa CCM inafaa

Mara ngapi BAKWATA wanafanya siasa za kuwasapoti CCM na hakuna matamko kama haya?
 
Haahaa Wakati mwenyewe kinara🤣🤣
 
Haki ipi ambayo haipo? Makanisa yasifanye siasa
Ninyi ni wajinga na wabinafsi sana Makanisa yanapo hubiri amani huwa mnafurahia na hamsemi wanafanya siasa ila yakiwadai mtende haki mnasema wanafanya siasa, wakati huo huo mnawaomba viongozi wa makanisa waisaidie serikali kuhamasisha amani na mnatumia makanisa kuwaomba wawahamasishe waumin wakajiandikishe na kupiga kura , kwani neno HAKI huwa lina wapa maradhi? Mbona kama likitajwa mnaweweseka sana hakuna amani bila haki
 
Nonesense kabisa...CCM na ukweli ni paka na panya. By the way yeye kama nani azuie ukweli kusemwa. Stupid!
 
Wapumbavu sana
 
Kama viongozi wa dini wameshindwa kumjibu hapo hapo huyu mjinga basi hapo kulikuwa na viongozi wadini wahovyo na vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…