Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

Hana maono yeyote zaid ya kukosa hekima na busara
 
TUONDOLEE MUVI ZA KIHINDI, SISI NI WATU WAZIMA TAFADHALINI SANA
 

Lucas Mwashambwa@work
 
Kuna nilikuwa nakuona kama unajitambuwa hivi kumbe kichwani na wewe hamna kitu kabisa , mbona unaongea vitu vya kijinga sana kuliko muonekano wako ?? Au tayari akili zako zishakuwa hazina akili?? ,,jitambuwe basi
 
Ukitoka Kwa shemeji Yako unakokaa bure na kula bure utaanza kujitambuwa Kwa Sasa endelea tu maana huchangii chochote ,, Matatizo ya kulala sebureni kama TV naona yameanza kuleta matokeo sasa
 
Mkuu mbona sikuhizi hauandiki namba yako ya simu? Ina maana umekata tamaa kabisa ya kula uteuzi?
Mkuu, usikate tamaa.
 
Huyu mwamba wamempatia sana kumpeleka arusha, atawanyoosha wenye viburi, jeuri jeuri, wezi wezi, majambazi na matapeli
 
Dab in action
 
Kabisaa. Makonda ni TINGATINGA.
 
Ujasiri huo unatokana na nini? Amefanya kitu gani cha kumfanya avishwe ujasiri?

Au unaongelea ‘alivyomkunja’ Mzee Warioba?
Nafikiri kile kitendo cha kumkunja xprime minister tena akiwa na mlinzi wake mwenye silaha na mlinzi huyo asifanye kitu chochote ni ujasiri kwa namna fulani.

Hawa walokuwa viongozi si huambatana na walinzi mda wote?

Sasa mbona huyo mlinzi alikuwa ameduwaa tu huku Makonda akimkunja subject wake?
 

Alikuwa anamuokoa Mzee na kumtoa nje ili asiletewe vurugu na wahuni wa CHADEMA waliotaka kuleta vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…