sijulikani26
New Member
- Feb 13, 2017
- 1
- 1
Shida nikwamba anajikuta analewa madaraka anazingua sana anasahau alipotokaKwangu mm Kutoka Mchimba mchanga na mkata mkaa mpaka RC is a very inspirational journey.
Concern yangu ni akumbuke tu alikotoka, dhamana aliyopewa isimfanye asahau alikotoka.
Dhamana aliyopewa na kauwezo alikonako kiuchumi kwa sasa visimfanye ajione kama kashushwa Kutoka mbinguni.
Ni mfano kwa vijana na wasikate tamaa
Kuchimba mchanga,kukataa mkaa,kupiga debe,kupasua zege,n.k hizo zote ni harakati tu za kukufikisha unakotaka kufika..basi makonda yuko vizuri sana kama alifanya hayo mambo...
Mbona rais wa Ghambia alikua kuli mbeba mizigo huko ulaya.
Kwenye maisha usipende kuangalia ulikotoka angalia unakoenda
Habari hii haiwezi kuwa ya kipumbavu, upumbavu unaweza kuwa ni tafsiri ya mtu kadri atakavyojipa tafsiri yake kuhusu habari yenyewe. Gazeti limefanya kazi yake, na ni miongoni mwa kazi zinazopaswa kufanywa na chombo cha habari!Japo simpendi huyu dogo ila hii habari ni ya kipumbavu sana,historia ya mtu haimzuii kupata mafanikio ama uongozi
Habari hii haiwezi kuwa ya kipumbavu, upumbavu unaweza kuwa ni tafsiri ya mtu kadri atakavyojipa tafsiri yake kuhusu habari yenyewe. Gazeti limefanya kazi yake, na ni miongoni mwa kazi zinazopaswa kufanywa na chombo cha habari!
Kam alipitia huko ameonyesha njia ya kufanikiwa ukiwa na malengo,,,ameonyesha hakuna kinachoshindikana chini ya jua ukiamua kuwekeza muda,akil,nguvu na mungu akikusimamia
Hii yote ni kwa sababu dogo kawashika pabaya ndo maana wanaanza kuongea vitu visivyo hata na maanaJapo simpendi huyu dogo ila hii habari ni ya kipumbavu sana,historia ya mtu haimzuii kupata mafanikio ama uongozi
Habari wakuu!
Gazeti la RAIA mwema Leo limetoka na habari kuu yenye kichwa cha habari Makonda ni nani? Yule mchimba mchanga, mkata mkaa?
View attachment 470671
Na mimi nauliza ndiye yule au mwingine?
chanzo: gazeti la RAIA mwema
Habari wakuu!
Gazeti la RAIA mwema Leo limetoka na habari kuu yenye kichwa cha habari Makonda ni nani? Yule mchimba mchanga, mkata mkaa?
View attachment 470671
Na mimi nauliza ndiye yule au mwingine?
chanzo: gazeti la RAIA mwema
Usiangalie ulikotoka ndio lakini ni muhimu Kukumbuka ulikotoka ili uendelee kuyaona maisha katika uhalisia wake ili usije kuwa limbukeni wa madaraka ambayo ni dhamana, mali na anasa za kupita tu!Kuchimba mchanga,kukataa mkaa,kupiga debe,kupasua zege,n.k hizo zote ni harakati tu za kukufikisha unakotaka kufika..basi makonda yuko vizuri sana kama alifanya hayo mambo...
Mbona rais wa Ghambia alikua kuli mbeba mizigo huko ulaya.
Kwenye maisha usipende kuangalia ulikotoka angalia unakoenda
OH Gosh. Hata na mimi nilikuwa nakojoa na kunya kwenye nappy nilivyokuwa mchanga. Should this need to be appeared on headline?Habari wakuu!
Gazeti la RAIA mwema Leo limetoka na habari kuu yenye kichwa cha habari Makonda ni nani? Yule mchimba mchanga, mkata mkaa?
View attachment 470671
Na mimi nauliza ndiye yule au mwingine?
chanzo: gazeti la RAIA mwema
Kila mtu ana historia, sijaona mantiki ya hii habari chochezi!!!
Habari hii sio ya kipumbavu kwa sababu imekufikirisha na kukukumbusha historia yako nyeusi! Hii habari ni fundishi na fikirishi!Japo simpendi huyu dogo ila hii habari ni ya kipumbavu sana,historia ya mtu haimzuii kupata mafanikio ama uongozi
wamenukuu nunua gazeti ujue nani kazungumza hayo manenoKatika siku ambazo gazeti la raia mwema limeandika mambo ya kijinga ni leo..
Kwahiyo kama mtu unachimba mchanga wanataka uishi maisha ya kinyonge daima..
Mbona binadamu wote tunazaliwa na tunapita sehemu ya hovyo inayotoa uchafu mwilini...mbona sijawahi kusikia wakisema "hivi huyu naye alipita sehemu hii ya hovyo wakati wa kuzaliwa"
Kila mtu ana mipango yake kufika pale anapopataka..