msindikizaji
JF-Expert Member
- Aug 29, 2010
- 1,763
- 2,888
Anayway, hatushangai. Kuwa RC sio lazima uwe msomi. Hicho ni cheo cha kisiasa hata darasa la saba unaweza kuwa RC. Sia kubwa ni kuwa mkereketwa, kujipendekeza kwa wakuu na kufanya mambo yanayokifurahisha chama tawala, hata kama hayana logiki na yanapingana na mashauri ya wataalamu.
Ila tungependa kuona CV yake
Ni rahisi sana kama ukiwa kada aliyenyweshwa maji ya bandeda ya kwanza kabisa ya ccm.Halafu ukukutanza na wapinzani wakubwa uwachape vibao nirahisi kufika alikokuwa makonda.kile kobao alichomchapa Warioba kimemtoa sana kimaisha. Hata wewe kama ni kada wa ccm.Nenda kamchape vibao kadhaa Lowassa au Mbowe.Hautapita hata mwezi mmoja ushaukwaa DC baadae kidogo unahamishiwa kwenye RC .
Mmesoma kilichoandikwa au mnalaani tu hata bila kujua wameandika nini. What kama wanamsifia kua katoka huko hadi alipofika ni mfano wa kuigwa? Don't judge the content from the heading
Hili ni swali zuri sana.
Kikulacho kinguoni mwako.
Tunaendelea kutadhmini kwa karibu sana.
Hatukioni Chama Cha Mapinduzi kikiongoza nchi yetu.
Kuna harufu za Kizayuni "ubaguzi na chuki binafsi" katika Taifa letu. Kuna unafiki wa hali ya juu unaendelea ambao unaweza kuleta mfarakano.
Hatumuoni Mwalim Nyerere kwenye twasira ya nchi yetu. Mwalim Nyerere aliyejenga na kudumisha Umoja wetu.
Ewe Mungu utulinde na kutuokoa na kudumisha Umoja wetu.
Kama kweli basi unabii umetimia
"From zero to hero"
Ana kila sababu ya kusimamia haki
Amepitia anajua ameishi mateso anayajua
Namuombea sana
Kabla hajaimiliki dar
Mkuu,mimi naamini gazeti lilikuwa linamaanisha kuwa huyu RC alikuwa "humble" huko nyuma kutokana na kazi alizowahi kufanya,sasa iweje leo asiendelee kuwa "humble"? Kwa mtu aliyepitia maisha hayo mimi binafsi naamini lazima atakuwa/anapaswa kuwa "humble",sasa ikiwa vinginevyo ndio maswali yanakuja,kwa nini na imekuwaje.kwani kukata mkaa sio kazi halali? au kuchimba mchanga??
ulitaka awe mwizi au muuza madawa??
Well saidKwangu mm Kutoka Mchimba mchanga na mkata mkaa mpaka RC is a very inspirational journey.
Concern yangu ni akumbuke tu alikotoka, dhamana aliyopewa isimfanye asahau alikotoka.
Dhamana aliyopewa na kauwezo alikonako kiuchumi kwa sasa visimfanye ajione kama kashushwa Kutoka mbinguni.
Sabotage sabotage sabotage,Hata kama ni habari ya kweli lakini hata Kichwa cha Habari tu ni Negatively kihabari,Kinaonesha kutoandikwa vizuri ndani ya habari.Habari hii haiwezi kuwa ya kipumbavu, upumbavu unaweza kuwa ni tafsiri ya mtu kadri atakavyojipa tafsiri yake kuhusu habari yenyewe. Gazeti limefanya kazi yake, na ni miongoni mwa kazi zinazopaswa kufanywa na chombo cha habari!
Unashangaa Paul Makonda kuvaa hivyo? Je ungefanikiwa kupata picha ya Julius Nyerere anachunga Mbuzi au ng'ombe kule Butiama enzi hizo hajaanza shule ya msingi!
Pu..mba...... zake hajaeleweka huyoNimeiona hiyo title, lakini sijaelewa wewe umeleta hapa kwa maana gani maana hujafafanua chochote kilicho ndani ya hiyo habari
Unazo akili wewe, watu wanafikiri wanamdhalilisha kumbe wanamkwezaKwangu mm Kutoka Mchimba mchanga na mkata mkaa mpaka RC is a very inspirational journey.
Concern yangu ni akumbuke tu alikotoka, dhamana aliyopewa isimfanye asahau alikotoka.
Dhamana aliyopewa na kauwezo alikonako kiuchumi kwa sasa visimfanye ajione kama kashushwa Kutoka mbinguni.
Anyway, I cant comment more-sijaisoma habari yenyewe. Nilijua ni coverage ya profile ya huyo jamaa kuonyesha tu wapi alikotoka na mambo kama hayo! Jambo ambalo ni la kawaida na linapaswa kufanywa na media! sasa kama kuna sabotage sijui!Sabotage sabotage sabotage,Hata kama ni habari ya kweli lakini hata Kichwa cha Habari tu ni Negatively kihabari,Kinaonesha kutoandikwa vizuri ndani ya habari.
Sabotage sabotage sabotage
Heee!! Kufanikiwa ukiwa na malengo kwa vyeo hivi vya kuteuliwa???!! Hayo huwa tunayasema iwapo mtu atatoka ktk maisha hayo kwa kupiga shule hasa au kujishughulisha na biashara au shughuri yoyote kwa bidii yake akaja pata mafanikio, ila hivi vyeo vya leo umekuwa dc, kesho Rc kesho kutwa balozi navyo una msifia mtu eti ameonyesha njia!!?? Huyo aliyemteua kesho akiamua vingine inkuwaje?! Hayo tunasema mtu anapokuwa amefika pale alipo. Kwa ajili ya shule,,. Au jitihada binafsi sio hivi vya kuteuliwa teuliwa. Shame on u!!Kam alipitia huko ameonyesha njia ya kufanikiwa ukiwa na malengo,,,ameonyesha hakuna kinachoshindikana chini ya jua ukiamua kuwekeza muda,akil,nguvu na mungu akikusimamia
Tunajua kuwa kuna habari za kuelezea ulikotokea mpaka ulipo sasa in a positive way lakini hii ni in a negative ukianzia na title yake tu hapo inakupa mwelekeo wa habari yenyewe.Anyway, I cant comment more-sijaisoma habari yenyewe. Nilijua ni coverage ya profile ya huyo jamaa kuonyesha tu wapi alikotoka na mambo kama hayo! Jambo ambalo ni la kawaida na linapaswa kufanywa na media! sasa kama kuna sabotage sijui!
Kwani wamefanya naye interview au wameokoteza?Tunajua kuwa kuna habari za kuelezea ulikotokea mpaka ulipo sasa in a positive way lakini hii ni in a negative ukianzia na title yake tu hapo inakupa mwelekeo wa habari yenyewe.
Ni habari ya kumkatisha MTU tamaa.