Fighter101
Member
- Jan 8, 2022
- 46
- 64
Ni aibu Kwa mwanaume kuongea habari ya vitoto vya panya road, mnashindwa kuwauwa?Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama makonda.
Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda
Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
Ni aibu Kwa mwanaume kuongea habari ya vitoto vya panya road, mnashindwa kuwauwa?
Au na wewe una mitako kama Makonda?
Huyo wamemmis jela na siyo wana Mzizima.
Jiji liko chini ya shuvelee Pedeshee Amos Makala, ushamba wenu pelekeni Kwa wasukuma wenzenu.
Mtindio wa ubongo unakusumbua, huyu makala wako anayesema ameweka polisi 300 ni wa kike au makala ni mwnamke kumbe hatujuiNi aibu Kwa mwanaume kuongea habari ya vitoto vya panya road, mnashindwa kuwauwa?
Au na wewe una mitako kama Makonda?
Huyo wamemmis jela na siyo wana Mzizima.
Jiji liko chini ya shuvelee Pedeshee Amos Makala, ushamba wenu pelekeni Kwa wasukuma wenzenu.
Ndio ni wajinga, ila wananchi wa maeneo husika ndio wajinga zaidi.Usijifanye poyoyo wew kulopokwa lopokwa tu kama mwenda wa zimu kwaiyo unataka kusema serikali nzima wajinga kuwaongelea awo watu wanaokusanyika na silaa za kijadi ??!! [emoji2959][emoji2959]
Mimi nawashauri panya road wasiishie kuwacharanga mapanga, Bali wawale Tigo mbele ya wake zenu ndio mtasema Sasa imetosha na hakutakuwa na Panya road Tena.Jamani wanaume wa dar tumekosa amani kabisa Mungu atusaidie
Hivi vitoto vinatuonea sana yaani
Hata kutoka nje usiku naogopa nakojolea kwenye kopo
Polisi wameanza kuwa makini ili tatizo litakwisha tu
Piga kelele kwa polisi wake
Weuweeee ..!
Kwa akili hizi, ndo maana wazungu wanasema waafrika zamani tulikuwa nyani.Ndio ni wajinga, kila wananchi wa maeneo husika ndio wajinga zaidi.
Miaka ya 90's palikuwa na Commando Yoso, hawa panya road cha mtoto, Commando haukomeshwa na kusambaratisha na Polisi, ni wananchi waliamuwa wakasema Sasa basi imetosha.
Hao Panya road ni Watoto zenu na mnakaa nao majumbani, mnawafuga halafu mnataka kutupigia kelele?
Jiulize umeshawahi kusikia Panya road Masaki, Oyster bay, mikocheni, mbezi beach, upanga, kariakoo, Ilala?
Je umewahi kusikia panya road kitunda?
Kumbe na wewe ni mwanasiasa? Unaishi nchi gani?Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea
Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
Kwamba mchina alicheza kubwa.....maana pikipiki ya mjapani ilikuwa haishikiki kwa bei.Kumbe na wewe ni mwanasiasa? Unaishi nchi gani?
Ukiona Taifa ambalo mwenye degree na darasa la saba wote wako sawa tu wanapigika ujuwe shida ni kubwa.
Tena tuwashukuru walioleta Bodaboda Panya wengi wamepata ajira huko, otherwise pasingekalika kabisa roba zingepigwa mchana kweupee.
Tuwashukuru sana Wachina, ukifanya sensa ya Bodaboda nchi nzima wako wangapi ndio unajuwa kulikuwa na Bomu kubwa linakuja kulipuka.Kwamba mchina alicheza kubwa.....maana pikipiki ya mjapani ilikuwa haishikiki kwa bei.
Sema umemmis,si tumemmis.Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.
Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda
Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
Tozo na mfumuko wa bei ndio tatizo la kwanza.Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea
Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
kuna pahala una neemekaSema umemmis,si tumemmis.
Tozo na mfumuko wa bei ndio tatizo la kwanza.
La pili ni kitendo che serikali kuwafumba midomo watu wa chini wasipaze sauti kutokana na hali halisi ya maisha. Hata vyama pinzani vimezibwa mdomo. Sasa ukiziba pote kuna sehemu itatoboka tu kwa presha ya ndani. Hapa utaambiwa demokrasia awamu hii imeimalika, hakuna lolote.
Tatizo la 3 ni gape kuongezeka kati ya wenye vipato waliosamehewa kodi waheshimiwa sana na wananchi wa chini.
Vitu hivi visipoangaliwa kwa makini, basi watenge fungu la kutibu madhara yake