Paul Makonda nimekumisi

Paul Makonda nimekumisi

Fighter101

Member
Joined
Jan 8, 2022
Posts
46
Reaction score
64
Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.

Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda

Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
 
Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama makonda.

Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda

Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
Ni aibu Kwa mwanaume kuongea habari ya vitoto vya panya road, mnashindwa kuwauwa?

Au na wewe una mitako kama Makonda?

Huyo wamemmis jela na siyo wana Mzizima.

Jiji liko chini ya shuvelee Pedeshee Amos Makala, ushamba wenu pelekeni Kwa wasukuma wenzenu.
 
Usijifanye poyoyo wew kulopokwa lopokwa tu kama mwenda wa zimu kwaiyo unataka kusema serikali nzima wajinga kuwaongelea awo watu wanaokusanyika na silaa za kijadi ??!! [emoji2959][emoji2959]
 
Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea

Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
 
Mtindio wa ubongo unakusumbua, huyu makala wako anayesema ameweka polisi 300 ni wa kike au makala ni mwnamke kumbe hatujui
 
Jamani wanaume wa dar tumekosa amani kabisa Mungu atusaidie

Hivi vitoto vinatuonea sana yaani

Hata kutoka nje usiku naogopa nakojolea kwenye kopo

Polisi wameanza kuwa makini ili tatizo litakwisha tu

Piga kelele kwa polisi wake
Weuweeee ..!
 
Usijifanye poyoyo wew kulopokwa lopokwa tu kama mwenda wa zimu kwaiyo unataka kusema serikali nzima wajinga kuwaongelea awo watu wanaokusanyika na silaa za kijadi ??!! [emoji2959][emoji2959]
Ndio ni wajinga, ila wananchi wa maeneo husika ndio wajinga zaidi.

Miaka ya 90's palikuwa na Commando Yoso, hawa panya road cha mtoto, Commando yoso haikukomeshwa na kusambaratishwa na Polisi, ni wananchi waliamuwa wakasema Sasa basi imetosha.

Hao Panya road ni Watoto zenu na mnakaa nao majumbani, mnawafuga halafu mnataka kutupigia kelele?

Jiulize umeshawahi kusikia Panya road Masaki, Oyster bay, mikocheni, mbezi beach, upanga, kariakoo, Ilala?

Je umewahi kusikia panya road kitunda?
 
Jamani wanaume wa dar tumekosa amani kabisa Mungu atusaidie

Hivi vitoto vinatuonea sana yaani

Hata kutoka nje usiku naogopa nakojolea kwenye kopo

Polisi wameanza kuwa makini ili tatizo litakwisha tu

Piga kelele kwa polisi wake
Weuweeee ..!
Mimi nawashauri panya road wasiishie kuwacharanga mapanga, Bali wawale Tigo mbele ya wake zenu ndio mtasema Sasa imetosha na hakutakuwa na Panya road Tena.

Panya road siyo issue ya Polisi, hao wanamalizwa na wananchi wenyewe wakiamuwa.
 
Ndio ni wajinga, kila wananchi wa maeneo husika ndio wajinga zaidi.

Miaka ya 90's palikuwa na Commando Yoso, hawa panya road cha mtoto, Commando haukomeshwa na kusambaratisha na Polisi, ni wananchi waliamuwa wakasema Sasa basi imetosha.

Hao Panya road ni Watoto zenu na mnakaa nao majumbani, mnawafuga halafu mnataka kutupigia kelele?

Jiulize umeshawahi kusikia Panya road Masaki, Oyster bay, mikocheni, mbezi beach, upanga, kariakoo, Ilala?

Je umewahi kusikia panya road kitunda?
Kwa akili hizi, ndo maana wazungu wanasema waafrika zamani tulikuwa nyani.
reasoning and thinking capacity ni sufuri sufuri "0000000000000000"
 
Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea

Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
Kumbe na wewe ni mwanasiasa? Unaishi nchi gani?

Ukiona Taifa ambalo mwenye degree na darasa la saba wote wako sawa tu wanapigika ujuwe shida ni kubwa.

Tena tuwashukuru walioleta Bodaboda Panya wengi wamepata ajira huko, otherwise pasingekalika kabisa roba zingepigwa mchana kweupee.
 
Kwamba mchina alicheza kubwa.....maana pikipiki ya mjapani ilikuwa haishikiki kwa bei.
 
Tuwashukuru sana Wachina, ukifanya sensa ya Bodaboda nchi nzima wako wangapi ndio unajuwa kulikuwa na Bomu kubwa linakuja kulipuka.

Hata hivyo bado kuna tatizo kubwa la ajira.
 
Ni aibu sana...kuna siku nimekaa zangu eneo..Ghafla wamasai wawili wakakakatiza mbele yangu kwa mbio za hatari...huku wakisema lafikii panyaa...afu mchana tu...nikahamaki wamasai wanakimbia panyaaa?? Kumbe hawakumalizia road...kuchungulia nyuma naona kundi la watu wanafunga haraka ofis zao na wengine wanakimbia...bila hata kusema suu....nilitimua mbio haswa...ile katuni ya haki elimu ikasome...
 
Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.

Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda

Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.
Sema umemmis,si tumemmis.
 
Wakamatwe na wahojiwe, familia zao zipatikane tujue chanzo au msukumo wa kuingia kwenye hili kundi unakotokea

Tukumbuke hakuna mtoto aliyezaliwa kama panyaroad ila Yapo yanayowapelekea kuwa panyaroad. Tutafute tuyajue na kuyashughulikia
Tozo na mfumuko wa bei ndio tatizo la kwanza.
La pili ni kitendo che serikali kuwafumba midomo watu wa chini wasipaze sauti kutokana na hali halisi ya maisha. Hata vyama pinzani vimezibwa mdomo. Sasa ukiziba pote kuna sehemu itatoboka tu kwa presha ya ndani. Hapa utaambiwa demokrasia awamu hii imeimalika, hakuna lolote.
Tatizo la 3 ni gape kuongezeka kati ya wenye vipato waliosamehewa kodi waheshimiwa sana na wananchi wa chini.
Vitu hivi visipoangaliwa kwa makini, basi watenge fungu la kutibu madhara yake
 
Tozo ndio imezaa hawa wahalifu panyaroad!? Na kabla ya tozo walikua wapi!? Mashuleni? Majumbani? Maofisini? Vijiweni au wapi???

Halafu hii miezi michache ya tozo ndio imefanikiwa kutengeneza hawa watoto wengi kiasi hiki wahalifu wanaotambulika kama panyaroad??

Kama ni Gap Kati ya wasio nacho na walichonacho ndio utafiti ufanyike kuwatambua panyaroad waliosababishwa na hilo. Tufanye tafiti itakayomaliza tatizo sio tutoe majibu ya mihemko ambayo hayatasaidia jamii
 
Back
Top Bottom