Fighter101
Member
- Jan 8, 2022
- 46
- 64
Huyu bwana alichangamsha jiji, Dare salaam siyo ya dezo dezo inahitaji mkuu wa mkoa jeuri mwenye vijembe na masimango kama Makonda.
Huyu wa sasa mwenye shavu kama kameza fundo la castle light na miwani ya kihuni ni tabu tupu mkoa umemshinda
Panya road wanafanya watakavyo pamoja na mikwara yake ya kitoto, hali ni tete wasikie tu panya road kwa jirani ni hatari sana.