Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

Dar es Salam ilikaa kwa shwari

Maana matapeli wa viwanja na pesa walikamatika

Majambazi walikimbia na kuaicha Dar.

Mafisadi wa ardhi walikimbia kama mbwa.

View attachment 2476803
Alipambana na wauza unga halafu katikati ya hayo mapambano akawa yukp south anapiga picha na kinje ambaye kila mmoja anajua kuwa amewageuza vijana wengi punda. Funny!!!
Yani watanzania ni rahisi waongopea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…