Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

Kila mtu aachwe Aishi Kwa uhuru wewe unaishi Kwa uhuru nayeye maeshaadhibiwa kivyake Kwa makosa yake.
Wewe ni msafi basi ungeshafahamika wewe ni wale wale Huna jipya
 
Nasikia aliomba kuzikwa na baba yake ila akakataliwa aliona hataweza kuishi peke yake bila baba atanyanyasika
 
Tatizo watu mnaishi kwa chuki na majungu, nje ya hapo makonda ni mchapakazi na linapokuja swala la utendaji haangalii sula ya mtu

Na hao ndio viongozi wanaotakiwa wamsaidie mama bila kumsahau agrei mwali hawa wawili taifa linawaitaji sana kwa kipindi hiki naamini mh, sana mama Ikikupendeza wakati wa kuandaa mkeka ujao usiwasahau hawa makonda na agrei
 
Back
Top Bottom