Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

Paul Makonda shujaa wa taifa aliyesahaulika. Alipambana dhidi ya mateja, majambazi na matapeli wa kila namna

Mama amegoma kufufua kile kikundi cha Magufuli cha watu wasiojulikana, hivyo hana nafasi anayoweza kumpa Makonda.
Wewe jamaa una chuki na hayati JPM sababu ya uchaguzi wa 2020.
 
Binafsi na mkubali sana kamanda makonda kwa uwezo wake aliifanya nchi ikachemka, mateja walitubu na mapusha wariikiri kweli,
 
hayawani mkubwa! eti shujaa! mjinga mkubwa!
Tatizo la watu wenye akili nusu na robo ndio hilo!
hata jambazi, katili, onevu, liporaji linaitwa shujaa!
JF hebu muwe mnaondoa majingajinga kwenye Forum zetu!
 
Nashangaa kwanini Bashite anadunda kitaani wakati alikua mkora kuliko yule jambazi Sabaya?
 
Back
Top Bottom