Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
 
Hayo maneno yenyewe tu ni uongo tosha!
Kwamba walinzi wake walikuwa pia walinzi wa ruge.

Kwamba ile video walikuwa wanaigiza kwenda kuhojiana na bunduki!

Kwamba vile walisukuma mlango pasipo kufunguliwa ilikuwa wanatest
 
Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Hii inadhibitisha kuwa viongozi na wanasiasa wanatumiwa na marafiki na wafanyabiashara kukwepa sheria. Hii inaipata pia TRA kwa wanasiasa kutumiwa na wafanyabiashara kutolipa kodi ndicho anachojaribu kutueleza.
 
Wakuu,

Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni

Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia.

"Hakuna kituo chochote kilichowahi kuvamiwa chini ya uongozi wangu. Clouds ilikuwa ni familia yangu. Walinzi niliokuwa nao wa nyumbani kwangu, ndo walinzi ambao hata Ruge mwenyewe akikwama ndo walikuwa wanawapigia simu"

"Pale tulikuwa tunaenda kufanya editing, tunatoka tunarudi. Sasa swali kubwa ambalo natamani wandishi wa habari mngefanyia kazi. Moja, mbona hamjawahi kudai clip za mule ndani nilienda kufanya nini? Kwanini mliamini tu ya kwamba mtu ameonekana kuingia pale mlangoni alafu ndo ikawa chanzo cha uvamizi?

"Na cha pili hata yule mlinzi mwenyewe aliyekuwepo, kabonyeza ile button comfortable kabisa. Nilikuwa naenda mchana nilikuwa naenda usiku so many times. Ingekuwa ni investigation proper, wangeomba okay fine, hivi kwa mwezi wote mzima Makonda alikuja mara ngapi hapa?"

" Ni chombo ambacho hakijawahi kuvamiwa na mimi. Infact mimi nimetumika zaidi na Clouds, kuliko nilivyoitumia Clouds. Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
Kwa nini kamtaja Ruge mtu aliyefariki ambaye hawezi kuhakikisha madai haya?
 
Huyu toka akiri dereva wake ndio alikuwa anaenda kuchukua hela nikapigia msitari huyu kweli ni jambazi
 
1731853730119.png
 
Unawezakua na Vimeo na ukabaki salama kisa unafahamiana na watawala?

Na kumbe baadhi ya taasisi za serikali zinanywea na kupindisha utekelezaji wa majukumu yao Kwa baadhi ya watu?

Na mwisho, inamaana yeye hua anatumika na watu Kwa maslahi yake binafsi.
 
Back
Top Bottom