Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

Unawezakua na Vimeo na tukabaki salama kisa unafahamiana na watawala?

Na kumbe baadhi ya taasisi za serikali zinanywea na kupindisha utekelezaji wa majukumu yao Kwa baadhi ya watu?

Na mwisho, inamaana yeye hua anatumika na watu Kwa maslahi yake binafsi.

Sijajua kwanini waandishi waliopo pale hawakumuuliza maswali haya.

Media zetu zina waandishi vibuyu
 
Can you imagine ilikuwa imefika hatua wanaitwa na TCRA mimi na-show up, Ruge anapiga simu Brother eeh jamaa wamekuja TCRA, tuna kimeo hapa. Wananiambia niko wapi nawaambia tulia nakuja"
So hili linazuia yy kuwa mvamizi wa clouds Media? Wanauana watu wanajifunika shuka moja miaka 20 itakuwa yy katika awamu fupi ya utawala. Angekaa kimya could be better!!
 
So hili linazuia yy kuwa mvamizi wa clouds Media? Wanauana watu wanajifunika shuka moja miaka 20 itakuwa yy katika awamu fupi ya utawala. Angekaa kimya could be better!!

Anatafuta Uwaziri.

Mkeka ulitoka awepo
 
Kuna watu damu ikimwagiga tu huibuka na kuanza kuongea.Hapa utagundua damu ina mengi katika ulimwengu wa roho katika Kisiwa cha Piece.Watu wa Ulimwengu wa Roho mtaelewa.Tuendelee kujua Damu inanunua!!.
Imani tu hizo mkuu hazina maana yoyote.
Ukraine na Huko Palestina watu kila siku damu inamwagika, kuna jambo gani la kiroho linatokea? Au kuna damu special kiroho?
 
Back
Top Bottom