Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Inaonekana una shida kubwa sana kichwani. Ww kazi yako ni wivu na chuki kwa watu. Na ulivyo na akili ndogo unataka usikilizwe. Hii ni tabia mbovu na ya kipumbavu. Mawazo yako ya hovyo hovyo unalazimisha watu wayakubali. Tabia hii ya kijinga kabisa na ya watu frustrated kama nyie anayo Kigogo2014, Mange Kimambi. Na wengine wengi wapumbavu wanazidi kuongezeka. Kama unaumia Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, jinyonge tu. Na Makonda atakuja kuwa, MTU mkubwa Sana bongo hii. Jiandae kujinyonga.
 
Makonda ni mkuu wa mkoa tu ambaye haingii kwenye kikao chochote Cha Maamuzi ya Kitaifa iwe Baraza la Mawaziri wala Kamati Kuu ya CCM lakini anashupaliwa ajabu

Ni vema mkajikita kwenye kujadili Uchumi wa Nchi, Katiba mpya na Uchaguzi mkuu wa 2025

Makonda aliteuliwa na Kikwete Kuwa DC Kinondoni (Wilaya ya Viongozi Wakuu), akateuliwa na Shujaa Magufuli Kuwa RC DSM ( Ngome ya Uchumi) na ameteuliwa na Rais Samia Kuwa RC Arusha ( Ngome ya Utalii)

Hamjiulizi tu kwanini Marais Wote wa Enzi yake wanamkubali?

Niishie hapo
 
Kuna watu ukiwapatia Mic lazima uanze kuwaza nini kinaenda kutokea. Makonda ni mmoja wao, makonda hana kipaji cha kuongea kabisa kabisa, hana point, ba hajui basi anaweza pangilia vipi point zake, jamaa akisha pewa MIC yeye ni kuropoka tu.

Makonda akipewa MIC ni kutishia tu ndio point zake, fuatilia maongezi yake utagundua.

Leo pale Monduli baada ya kupewa MIC kaanzs kusema anawajua wanao mtukana Raisi na kuanza kuwaonya na kuwatishia.

Huyu akiendelea kupewa MIC kuna siku ataongea vitu vya ajabu sana na itakuwa too lare kusahihisha, naona hajashutukiwa kwamba sio mtu wa kupewa MIC.

Watu wa Protocak ni bora kwenye mikutani mikubwa inayo husidha viongozi wa juu, wakawa wanazuia kumpatia Makonda MIC.

Kule Kenya yule Makamo wa sasa wa Rais Ruto naye kiasi fulani anafanana na Makonda na angalau naona kaanza kujirekebisha, naye alikwa akipewa MIC hasa kipindi cha Kampeni alikuwa ni kuharibu badala ta. kujenga.
 
Shambani ni kila siku?
Mimi makonda nampenda bila sababu
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒHapana siyo kila siku.mvua zilinyesha sana jana ,kwa hiyo nilikuwa nimekwenda kuangalia kama hazijafanya uharibifu wa kuangusha mahindi chini kwa upepo.
 
Mbwa kabisa ninyi ,
Chama chakavu kilichochakaa na kunuka ,
Majitu yaliyokosa akili mnaweza ongoza misukule labda .
Pumbavu , bila ccm Tanzania ingekuwa paradise on earth
Kazi kushibisha makalio na matumbo yenu kwa kukomoa wananchi
Malaya kama wewe mnalipwa buku mbili kwa siku kuja kuandika huu ushoga huku bila aibu .
Bloody fools !
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒHapana siyo kila siku.mvua zilinyesha sana jana ,kwa hiyo nilikuwa nimekwenda kuangalia kama hazijafanya uharibifu wa kuangusha mahindi chini kwa upepo.
Ukivuna usisahau kunitumia gunia la mahindi niwe nachemsha nakula๐Ÿ˜Œ
 
Ukivuna usisahau kunitumia gunia la mahindi niwe nachemsha nakula๐Ÿ˜Œ
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒUsijali nitakutumia bila shida pamoja na mchele uliokobolewa na kutoka vizuri bila kukatika katika.nitakutumia pia na maparachichi ambayo hayajaiva sana kusudi yasifike yameharibika. Lakini pia nitakuwekea na karanga ndani yake ambapo hata kama hulagi unaweza kuwapa hata majirani zako.
 
Yaani nikiangalia hii nchi ilivyo backward , impoverished na ya kishenzi
Natamani ningekuwa na uwezo wa kuteketeza takataka zote zenye mentality ya uccm
Ccm ni kansa kwa hili taifa , ccm ndio ilitengeneza mfumo mbovu wa uongozi na culture ya ukosefu wa maadili katika uongozi na kutowajibika ,rushwa , sera za kishenzi za kiuchumi zinazokuza umasikini , njaa ,ujinga na maradhi katika hii nchi .
Nchi kubwa kama Tanzania ila imejaa ujinga , Upumbavu ,maradhi ,njaa ,umasikini na ukosefu mkubwa wa maadili katika akili za watu wake
 
Halafu takataka kama wewe unakuja hapa kuharisha kwamba huyo kiboga mwenzako anaweza badilisha mambo
Give me a break !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ