Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Huo usanii hauwezi kubadili nchi hii. Tunataka mifumo inayofanya kazi kwa usahihi, sio mtu kusaka kiki za kisiasa. Hapo anajifanya anatatua matatizo ambayo chama Chake kimeshindwa kufanya mifumo ifanye kwa ufanisi.
Mfumo bila kiongoz ni bure,hata hikonunapojua wewe **** mifumo imara mambo huharibika .ingekua ishu ni mfumo bas hata ulaya kusingekua na viongoz kama ndio mfumo. Mfu.o myfot
 
Mfumo bila kiongoz ni bure,hata hikonunapojua wewe **** mifumo imara mambo huharibika .ingekua ishu ni mfumo bas hata ulaya kusingekua na viongoz kama ndio mfumo. Mfu.o myfot
Kwa taarifa yako mifumo mizuri ndio hutengeneza viongozi sahihi. Vinginevyo huko ulaya bila mifumo mizuri wangekuwa na viongozi kama Hawa wetu tu.
 
Huo usanii hauwezi kubadili nchi hii. Tunataka mifumo inayofanya kazi kwa usahihi, sio mtu kusaka kiki za kisiasa. Hapo anajifanya anatatua matatizo ambayo chama Chake kimeshindwa kufanya mifumo ifanye kwa ufanisi.
mifumo ni watu
kwan hakuna takukuru
hakuna mahakama
hakuna police
Hii mifumo yote inawatu Tunachotaka si mifumo tunataka watu wanaojua nn cha kufanya
 
Hivi hatuwezi kupata Viongozi walau 20 Tanzania kama Makonda ili nchi isonge mbele . Katiba tuitakayo inatakiwa itupe viongozi kama Makonda aisee very inspiring and solving people's problems what a leader.
Una jina la kiume, lakini nahisi wewe ni wa kike
 
Usanii tu na kutafuta mileage
Hata baba yake alikuwa anagawa hela na kula mahindi ya kuchoma
Tunataka mfumo rasmi na katiba imara inayofuatwa anaeipindisha anatoka kwa mujibu wa katiba
Hawa viongozi wasanii na wa kujionyesha tumewaona wengi na kila mmoja na sheria zake
 
mifumo ni watu
kwan hakuna takukuru
hakuna mahakama
hakuna police
Hii mifumo yote inawatu Tunachotaka si mifumo tunataka watu wanaojua nn cha kufanya
Hiyo mifumo imeundwa na watu wasio waadilifu. Ni hivi huwezi kuwa na mifumo yenye nguvu iwapo una rais asiyeshitakiwa akiwa au ametoka madarakani. Ukitaka hiyo mifumo ifanye kazi sawasawa ni lazima rais ashitakiwe akifanya makosa. Kinyume na hapo utakuwa na mifumo dhaifu inayofanya Kazi kwa double standard.
 
Hivi hatuwezi kupata Viongozi walau 20 Tanzania kama Makonda ili nchi isonge mbele . Katiba tuitakayo inatakiwa itupe viongozi kama Makonda aisee very inspiring and solving people's problems what a leader.
ulishawahi kufanya kazi serikalini
 
sasa unaanza kuharibu kama wale wabunge wa sifa.
Hapana mkuu mbona viongozi wengine hata hizo Kiki hawafanyi kwa watu wakafunguka wakatoa machungu yao,ujue wananchi hawahitaji ahadi ya vitu vikuubwa hapa ni ile kuwa karibu nao..uwe kimbilio Lao hata ukishindwa au issue ikawa nje ya uwezo wako wanaelewa..ni kitu wanachokikosa wanachi kwa viongozi wao ambacho makonda anafanya kugusa maisha ma mioyo ya watu anavunja ile gap ya kiongozi na wanachi..narudia tena akionesha nia wallah napanga foleni kupiga kura
 
tatizo la baadhi ya viongozi wapo kwajili ya kulinda vyeo vyao, ndio maana kila kukicha wanapishana kwa waganga w kienyeji kutafuta vyeo na kuvilinda, viongozi wa aina hiyo kamwe hawawezi kusumbuliwa na shida za wananchi.

tuzidi kumuombea sana Makonda Mungu amlinde.
 
Kipi ni kipi? Ni kweli kuna mawaziri wanaowalipa watu kumtukana mhe rais ama ni uzushi?

Kama ni uzushi mbona aliyeutangaza uzushi huo (Makonda) hachukuliwi hatua? Na kwa nn aliitwa na Kamati ya maadili? Na mbona maamuzi ya kamati hayajawekwa wazi hadi leo? (Mtakumbuka walipoitwa Kinana na Makamba jr kwenye Kamati ya maadili, kamati ilitangaza kuwa wamewapa ONYO na KALIPIO).

Kama ni kweli kwamba wapo hao mawaziri, mbona rais Samia hawatumbui?

Maswali haya yasiyokuwa na majibu ndiyo yanazaa swali kuu kwamba, nani anaogopwa na mhe rais?........ Makonda ama mawaziri?
 
Timu inayomzunguka SSH ni class namba moja ya nchi.

Class hiyo na makonda ni mbingu na dunia, makonda hata vyeti hana. Urais ni taasisi sio mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…