Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Huo usanii hauwezi kubadili nchi hii. Tunataka mifumo inayofanya kazi kwa usahihi, sio mtu kusaka kiki za kisiasa. Hapo anajifanya anatatua matatizo ambayo chama Chake kimeshindwa kufanya mifumo ifanye kwa ufanisi.
Ebu na wewe fanya usaaniii na makonda afanye ili tulinganishe kati ya wewe mkweli na usanii wa makonda. Kama huwezii kaa kimyaa makonda ashugurikie kero zetuu. Wewe kashikilie bango lililoandikwa viongozi hawawajibiki kwenye ile misafara ya maandamano yenu. Acha makonda achape kaziii.
 
Hivi hatuwezi kupata Viongozi walau 20 Tanzania kama Makonda ili nchi isonge mbele . Katiba tuitakayo inatakiwa itupe viongozi kama Makonda aisee very inspiring and solving people's problems what a leader.
Uongozi wa kupiga wazazi wetu mzee Warioba
Uongozi wa kudhalilisha wazazi wetu Mzee Lowassa
 
Wananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961. Je, sawa wananchi kuitenga CCM kwenye shida hizi wanazompelekea Makonda awasaidie kuzitatua leo?
Leo mumekuja na hoja kuwa anaiumbua CCM jana, mlisema kuwa ametengeneza mchongo wa watu wanaojifanya wana shida. Mbona hamueleweki? Tulieni Dogo achape kaz
 
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.

Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.

Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.

Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
 
Ati Specialist wa kutatua kero? je umejiuliza hizo kero zinasababishwa na nini?
I mean chanzo cha hizo kero ni nini? tuanzie hapo kwanza.
 
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.

Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.

Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.

Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
HATA KUMPIGA MZEE WARIOBA NI UBUNIFU
HATA KUMDHALILISHA LOWASSA KUWA KATELEKEZA MTOTO NI UBUNIFU kweli vichaa mpo wengi
 
K
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.

Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.

Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.

Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
Kazi hii ya Makonda inaonesha Kuna watumishi na viongozi wanaopashwa kutoa haki kwa Raia hawatoi aidha kwa kutokuwa na uweledi,rushwa au roho mbaya na pili yake Kuna viongozi hawatoi taarifa sahihi na mwisho kutokana na lundo la wanaolalamika kwa Makonda ni dhahiri Kuna Raia wameonewa na kudhulumiwa haki na Mali zao kwa muda mrefu.Namchulia Makonda kama Mpuliza filimbi aliyepewa. 'resiponsibilities without total authoutities'ni wakati muafaka kwa wenye Mamlaka kufanyie 'overhauls"vyombo vinavyosimamia na kutoa haki kwa Raia.yawezekana wanaojitokeza kwa Makonda ni wachache⚖️
 
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.

Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.

Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.

Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
ni mbunifu kweli na atafanikiwa,mpaka sasa ile wiki ya haki arusha amefanikiwa sana
 
Back
Top Bottom