Hebu acha ujinga.Katatua shida za wananchi Arusha
Ametatua au amesikiliza!
Kuwa mwelewa. Haya matatizo makubwa ya Ardhi namna hii ambayo hata yeye kayashangaa hadi kuona umuhimu wa kumwita waziri Mhusika na ardhi. Yanasababishwq na Nani kama sio viongozi wabovu wa ardhi. Na hii sio Arusha tu nchi nzima kilio ni ardhi. Hizi ofisi za ardhi zinafanya kazi gani miaka yote?
Kiukweli Kuna matatizo mengi sana kwa wananchi. Wabunge nao hawasemei ukweli yanayoendelea huko Mikoani na Wilayani.
Katiba mpya ndio Sasa tumechoka na utendaji mbovu.