Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Katatua shida za wananchi Arusha
Hebu acha ujinga.
Ametatua au amesikiliza!
Kuwa mwelewa. Haya matatizo makubwa ya Ardhi namna hii ambayo hata yeye kayashangaa hadi kuona umuhimu wa kumwita waziri Mhusika na ardhi. Yanasababishwq na Nani kama sio viongozi wabovu wa ardhi. Na hii sio Arusha tu nchi nzima kilio ni ardhi. Hizi ofisi za ardhi zinafanya kazi gani miaka yote?
Kiukweli Kuna matatizo mengi sana kwa wananchi. Wabunge nao hawasemei ukweli yanayoendelea huko Mikoani na Wilayani.
Katiba mpya ndio Sasa tumechoka na utendaji mbovu.
 
Kupambana na mafisadi, wazurumaji siyo rahisi kabisa!!

Kijana anahitaji maombi. Tumuombee, maana roho yake ameiweka rejani.

Mungu awe na Ndugu Makonda.
 
ukipata nafasi ya kuwatumikia wanainchi,watumikie kwa moyo wote, maarifa, nguvu na vipawa vyote alivyo kujaalia Mungu 🐒

porojo na stori za kuanza sijui kusema nani alifanya nini hazina maana yoyote 🐒

Nakuombea Baraka na Neema za Mungu Makonda aendelee kuchapa kazi kwendra mbele 🐒
 
Si mda kuna cheo cha Commisioner General of Regonal Commisioners atapewa bashite
 
Makonda is very ambitious, determined, committed, focused and creative in kidnapping, extortion and killing people.
Yes,
he is kidnapping and killing problems, challenges and unresolved disputes of marginalized and Arusha citizens as whole 🐒

he is on a mission 🐒
 
w Kuna watu kila anachofanya Makonda lazima wakosoe ( they always have comments). Makonda kama mkuu wa mkoa ameamua kushughulika na changamoto za watu katika mkoa wake kwa namna hiyo sasa wewe unakereheka na nini? Kama njia hiyo haitazaa matunda inakuuma nini? Kama anatafuta kiki ni mwanasiasa gani hapendi kiki? Hao wakuu wengine wa mikoa staili wanazotumia za kimya kimya zinazaa/ znatatua changamoto za watu kwa asilimia 100.?

Makonda hatarajii kupendwa na kila mtu kwani kama binadamu lazima wapo watakaomchukia. Kama mwenyezi Mungu amepanga kumuinua Makonda wewe na wenzako ha.mtaweza kumzuia.
 
Tatizo lake huwa hafikirii mambo!! Wewe kama RC, jambo liko mahakamani, na lingine limeshatolewa hukumu, unawezaje kumsaidia mtu?!!!
 
Hapa kuna Watu watasema hao watu wamepangwa au wamesombwa na mabasi kutoka Dar, Maana hitter wa Makonda walizani hakienda Arusha kwa Wachanga watamsusa hawezi pata watu kwenye mikutano yake, Sasahivi wamebadili gia angani eti hiyo ni Kiki tu amna anachokifanya,ni kutafuta umaharufu, wakati wao kila siku wanashinda mabarabarani wakipiga makerere eti Wanaandamana na kutafuta uhungwaji mkono wananchi.Baada ya hao Wanaoandamana kuipigia Serikali kuwa viongozi waliopewa mamlaka wasikae ofisini waige mfano wa Makonda hata wananchi wangeliwaunga mkono lakini Sasahivi hawa wapinzani wakiona mchapakazi ndani ya Serikali wataungana na mafisadi kumvunjavunja ili akate tamaa.Ni kama hakina Lissu wakati wa Magufuli wakati wakuvunja mikataba ya unyonyaji walianzisha kampeni ya matusi na vitisho ili Magufuli asiguse hayo makampuni ili walikutana na Magu kuchwa ngumu.Wapinzani wa Tanzania ni hovo kabisa hawawezi kuungana kwenye jambo la kitaifa kila kitu ni Pinga pinga.
 
ANAEWAANI CCM AKAPIMWE AKILI ATAKUA NA MTINDIO
 
Wasichokijua wengi ni kuwa Tanzania hakuna vyama vya upinzani,isipokuwa kuna matawi/vivuli vya ccm,[mawakala wa ccm]na akitokea mtu mwenye hisia za upinzani wa kweli, kwa kufanya kinyume na ccm(kuonyesha uzalendo)hushambuliwa sana ndani na nje ya ccm.Ni kama ilivyokuwa kwa JPM,na sasa ni kwa Hizo kelele zao zinaashiria hofu ya maovu yao kufichuliwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…