Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Ebu na wewe fanya usaaniii na makonda afanye ili tulinganishe kati ya wewe mkweli na usanii wa makonda. Kama huwezii kaa kimyaa makonda ashugurikie kero zetuu. Wewe kashikilie bango lililoandikwa viongozi hawawajibiki kwenye ile misafara ya maandamano yenu. Acha makonda achape kaziii.Huo usanii hauwezi kubadili nchi hii. Tunataka mifumo inayofanya kazi kwa usahihi, sio mtu kusaka kiki za kisiasa. Hapo anajifanya anatatua matatizo ambayo chama Chake kimeshindwa kufanya mifumo ifanye kwa ufanisi.
Uongozi wa kupiga wazazi wetu mzee WariobaHivi hatuwezi kupata Viongozi walau 20 Tanzania kama Makonda ili nchi isonge mbele . Katiba tuitakayo inatakiwa itupe viongozi kama Makonda aisee very inspiring and solving people's problems what a leader.
Kila kazi hupimwa na matokeo.Hivi hatuwezi kupata Viongozi walau 20 Tanzania kama Makonda ili nchi isonge mbele . Katiba tuitakayo inatakiwa itupe viongozi kama Makonda aisee very inspiring and solving people's problems what a leader.
Mimi sio MsaniiKaigize nawewe
Kaigize nawewe tuone kama unaweza.
Kwani Makonda ni msanii?Mimi sio Msanii
100%Kwani Makonda ni msanii?
Leo mumekuja na hoja kuwa anaiumbua CCM jana, mlisema kuwa ametengeneza mchongo wa watu wanaojifanya wana shida. Mbona hamueleweki? Tulieni Dogo achape kazWananchi wanaojitokeza kulalamika kwa mkuu wa Mkoa Makonda ni wengi sana, kama vile hakukua na serikali hata kidogo. Lakini inafahamika kuwa ni CCM iliyoko madarakani tangu nchi pate uhuru 1961. Je, sawa wananchi kuitenga CCM kwenye shida hizi wanazompelekea Makonda awasaidie kuzitatua leo?
Hahaha 😂 😂Kwahiyo mkuu ulitaka Makonda aache kusikiliza na kutatua matatizo ya watu kwasababu CCM ipo tangu tupate uhuru?
HATA KUMPIGA MZEE WARIOBA NI UBUNIFUKwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.
Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.
Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.
Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
Kwa mfano wanawake waliotelekezwa na waume zao na kuachiwa watoto bila kuhudumiwa mahitaji ya msingi.Ati Specialist wa kutatua kero? je umejiuliza hizo kero zinasababishwa na nini?
I mean chanzo cha hizo kero ni nini? tuanzie hapo kwanza.
Mimi mkulima natatua zangu shambani huku. Wewe ndio unatakiwa ku prove hayo sio mimiTupe ushaidi hata moja ambayo hajatatua, ukilinganisha na ww ulizotatua
Kazi hii ya Makonda inaonesha Kuna watumishi na viongozi wanaopashwa kutoa haki kwa Raia hawatoi aidha kwa kutokuwa na uweledi,rushwa au roho mbaya na pili yake Kuna viongozi hawatoi taarifa sahihi na mwisho kutokana na lundo la wanaolalamika kwa Makonda ni dhahiri Kuna Raia wameonewa na kudhulumiwa haki na Mali zao kwa muda mrefu.Namchulia Makonda kama Mpuliza filimbi aliyepewa. 'resiponsibilities without total authoutities'ni wakati muafaka kwa wenye Mamlaka kufanyie 'overhauls"vyombo vinavyosimamia na kutoa haki kwa Raia.yawezekana wanaojitokeza kwa Makonda ni wachache⚖️Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.
Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.
Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.
Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
Ni kweli tupo wengi sisi vichaa wa hakiHATA KUMPIGA MZEE WARIOBA NI UBUNIFU
HATA KUMDHALILISHA LOWASSA KUWA KATELEKEZA MTOTO NI UBUNIFU kweli vichaa mpo wengi
ni mbunifu kweli na atafanikiwa,mpaka sasa ile wiki ya haki arusha amefanikiwa sanaKwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.