Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Kunywa maji utulize akili yako kwanza.
 
I have never heard such a fucken utterance from such a stupid politician. Yeye anajiona yupo ikulu. Kuteuliwa tu kuwa mkuu wa mkoa anakuwa na mbwembwe hizi, siku akiteuli2a kuwa Naibu Waziri mbona atajinyea!
anajionaga kiongozi kila sehemu... nakumbuka alijipaga cheo cha kiongozi wa wakuu wa mikoa🤣🤣🤣
 
Nitafurahi sanaa machozi yatanitoka kama nimefungiwa kwenye chumba kilichopigwa mabomu ya machozi.😂
 
Michawa chawa ipo mingi mijitu imekaa kichawa tu kama kunguni yaani uchawa +chawa mwenye uzi ww ni lichawa
 
Nitafurahi sanaa machozi yatanitoka kama nimefungiwa kwenye chumba kilichopigwa mabomu ya machozi.😂
Pia nilikuwa nimesahau kuwa nitakutumia na mafuta mazurii ya Alizeti hata kidogo tu. nitakutumia kupitia mabasi ya Newforce au Abood.kazi yako itakuwa ni kuvumilia muda yanayofika huko Dar na kupokea tu stendi ,maana gharama zote za usafiri nitalipa Mwenyewe.
 
Acha umalaya ,ccm wanakutumia kama condom , tumia akili fala wewe
Tukana Mpaka umalize matusi yote.maana mimi sijawahi kuteteleshwa wala kutikiswa na matusi. Hapa ni lazima upotee tuu kama upepo.maaaba nineshagundua aina ya akili yako.
 
Friends and our Enemies...

Nahapa ninamnukuu Askofu Gwajima.

''Siyo kwamba Makonda/Bashite hafai kwenye kila kitu la hasha, Makonda au Bashite ana vitu vizuri, ana ule uthubutu au udiriki ambao ni jambo zuri.

Lakini hajawa mature enough kuweza kusimamia mambo ya utawala, kama Mkuu wa Mkoa, kwahiyo nakuomba Tena Kwa heshima Mh Rais, nakuomba Mh Rais huyu ndugu yetu muhamishie kwenye mahala pengine,siyo kwenye mambo ya utawala kama haya,kwenye nafasi hiyo.

Mambo ya utawala yanaweza kumfanya atuchafue na akuchafue wewe mbele ya macho ya wananchi,na ukiendelea kumuacha ipo siku atafanya jambo Bashite huyu,utatoka Moshi watu wote tutashindwa kufungua macho.

Sasa inawezekana tukawa tumeongea mambo mengi sana, Leo Mimi Nampa HUKUMU SASA


View: https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=_io5j1AmWJ4SbD3x
 
Umeupiga mwingiii sana, Mungu akubariki sana
Ila utumie Abood huyo New Force achana nae ni kichaa
 
Lucas,unatia kinyaa sana na sijui una ushemeji na Mods wa JF wanakuacha uposti Uharo wote hapa bila kuunganisha na Uharo wako wa Asubuhi ya leo 😤😡
 
Gambo ajiuzulu.
Makonda amemuaibisha Gambo ambaye amekuwa mbunge kwa muda mrefu na kushindwa hata kuweka lami barabara za jiji huku kila siku akilumbana na MACHAWA wa MONABAN wanae gombea naye jimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…