Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

Hapa kuna Watu watasema hao watu wamepangwa au wamesombwa na mabasi kutoka Dar, Maana hitter wa Makonda walizani hakienda Arusha kwa Wachanga
Mkoa wa Arusha si kwa wachaga kuna makabila mengi mno. Kwa wachaga ni mkoa wa KLM.
 
Kuna kijana mumoja wakati anarejea nchini, sisi boda boda tukajipanga kumpokea kwa bashasha kubwa, matokeo yake jamaa yule aliambulia kututukana eti sisi waendesha boda boda eti ni kazi za laaana. Yaaani tunahasira kweli kweli.
 
Mkuu wa mkoa Arusha akakamate mafisadi yaliyotajwa kwenye ripoti ya CAG badala ya kutatua matatizo ya raia wa Arusha?
 
Wewe ni mjinga au mpumbavu!!?
 
Umefuta machozi ya uenezi tayari? Maana ulikua unalia kwa kuacheki video za mwenezi na sasa RC! Samahani nimekuja kwa amani tu, hiyo sura kwa avatar ni yako?
Kwa kazi kama hii na ikipigwa back to back kila wiraya , asee 2025 mama saa tatu asubuh kafunga mahesabu arusha. Nasemea hivyo sabab lema alirudi alijua anakuja kuichukua arusha ila sasa battle yake,hapo bado kamati ya ufundi
 
I agreed with u,yestarday nimemuona hapi anasikilza ila i knew this style inataka uwe jiwe kweli.kweli
 
Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.
Ina maana watu wa Arusha hawajitambui
 
Kuna kijana mumoja wakati anarejea nchini, sisi boda boda tukajipanga kumpokea kwa bashasha kubwa, matokeo yake jamaa yule aliambulia kututukana eti sisi waendesha boda boda eti ni kazi za laaana. Yaaani tunahasira kweli kweli.
Alichoongea lema ni kweli hiyo ni kazi ya laana
 
Toka zako bwana chawa mkubwa
 
True comrade
 
Wewe bwana wewe,mfano wa hitler unaenda mbali,mim pia nina kitabu Mein kampf, kuna vitu vi g huvijui
Stori za Bashaite zinaboa sana, tumechokaaa!! Leteni stori za maRC wengine sasa
Sasa zitakujaje ikiwa hatuon wanachofanya.
 
Wewe ni mjinga au mpumbavu!!?
Mimi na wew hata tukikutana live nakuzidi kila kitu cha maana.
1. Elimu
2. Familia bora
3. Pesa
4. Nguvu za kiume na uanaume
5. Urefu
6. Ndevu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyie mdanganyeni agombee ubunge Arusha!!...si mnakumbuka kigamboni!
 
Nyie mdanganyeni agombee ubunge Arusha!!...si mnakumbuka kigamboni!
kigamboni hakua hivi alivyo,
alideal zaidi na siasa za kitaifa hapo juu kwa viongozi wenzie na cartels wa drugs, na sio ground na field kwa wanainchi mojakwamoja kama ilivyo sasa πŸ’
 
Mimi na wew hata tukikutana live nakuzidi kila kitu cha maana.
1. Elimu
2. Familia bora
3. Pesa
4. Nguvu za kiume na uanaume
5. Urefu
6. Ndevu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kimoja kimekushinda huna akili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…