Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepotea njia mkuuUnazungumzia hbr za wafu? Lema ni nani Arusha. Mbunge ni Mrisho Gambo.
huna haja ya kua na executive orders hali ya kua unatumia departments na wakuu wake kudeal na tuisue tudogotudogo ambavyo responsible official ama kwa woga, uzembe, uvivu ama uwezo mdogo wameshindwa kuyatatua kwa hiyari yao mpaka wawe forced like that 🐒Sasa Ukiwa Mbunge utatatua vipi hizo shida hata ukisikiliza? Ni lazima uwe na executive orders iwe kwenye chama au Serikalini.
Pili inawezekana nyie ni wageni wa siasa.Mtu wa kwanza kutumia staili hii Kwa Wakuu wa Mikoa ni Amos Makalla since early days akiwa RC wa Dar,Makonda ameanza kufanya hivi Sasa hivi ila awamu ya Magu hajawahi fanya.
Pia RC mwingine ambae Huwa anatumia hii staili Toka kitambo ni Juma Homera wa Mbeya.
Tofauti Yao na Makonda ni kwamba Makonda ana pesa alizopata Kwa kuwa na bucking ya Marais wote,ana hela za kulipa vyombo vya Habari nk
Watampendaje wakati wanaona anamwaga mboga zao,watoto wao watakula wapi,ada watapata wapi!? Basi kumbe wote tuajiriwe kwenye siasa na utumishi ili watoto wetu waende shule!!Tatizo la ngozi nyeusi ni ujinga na ujuaji na kujifanya wenye hekima kumbe ni majizi yanayoumiza wananchi! Kiongozi yeyote Afrika mwenye kushughulika na matatizo ya watu wa hali ya chini Viongozi wenzake hawawezi kumpenda!
visionary leaders ndivyo walivyo 🐒Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.
Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda kusikiliza.
Uenda asifanikiwe kwenye kila analolianzisha. Ila nia yake daima huwa ni njema. Dunia ni ngumu sana. Kuna watu wana nguvu na wanafanya kila wawezalo kukwamisha maendeleo kwa maslahi yao binafsi.
Makonda ni mpambanaji, mbunifu, msikivu, mpenda haki.
Mada yako ni nyepesi.Swali lako ni mada nyingine,jikite Kwenye mada hii
Ukishapata jibu, tafuta maana ya "Reconciliation".Ati Specialist wa kutatua kero? je umejiuliza hizo kero zinasababishwa na nini?
I mean chanzo cha hizo kero ni nini? tuanzie hapo kwanza.
Braza are u seriously kweli.? Hiv hio kaz ndio unahis anapaswa kufanya yeye.bila shka nyie ndio wale boda bao hawakupewa hela ya mafuta kwnye maandamano ya lisuNina mashaka ni movies zimetengenezwa ili ionekane CCM inashugulikia kero za watu! Vipi huko alikopita wakati akiwa mwenezi kero za wananchi zilitatatuliwa?
Makonda angejikita kukamata mafisadi yaliyotajwa kwenye ripoti za CAG na kuyafikisha mahakamani,hapa tungemwona ni mwamba kweli kweli.
Aliwahi kuwa rc dar hakuna kilichobadilikaTangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.
Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.
Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
Mapopoma kwa kujisifu.Tangu kuteuliwa kwa RC Makonda Arusha, Lema ni kama amepotea, watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town Lema ana kazi sana.
Utendaji kazi wa RC unawakosha watu na kuona jinsi chama chao cha mapinduzi ni sikivu nenda uone jinsi watu wanavyosaidiwa kero zao.
Huu muziki ukiendelea hivi hivi kelele za kina Lissu zitakuwa maeneo mengine ila sio Arusha, Istand to be corrected.
JPM tulimuombea akafa, na huyu tuanze?Makonda kajitoa kamaJPM, tumuombee kwani mafisadi hawana raha.
Wewe unaona mbali aisee.Labda Samia amuonee huruma,asipopata ni hasara Kisiasa ila ni faida kwake
Kitu pekee makonda anaweza kutatua ni marinda tu.Mkuu wa mkoa Arusha akakamate mafisadi yaliyotajwa kwenye ripoti ya CAG badala ya kutatua matatizo ya raia wa Arusha?
Muda bado mbunge ni Mrisho Gambo Arusha Lema ni mwananchi wa kawaida kama wananchi wengine kwa hiyo ongelea mambo ya Gambo na Makonda.Kwa kazi kama hii na ikipigwa back to back kila wiraya , asee 2025 mama saa tatu asubuh kafunga mahesabu arusha. Nasemea hivyo sabab lema alirudi alijua anakuja kuichukua arusha ila sasa battle yake,hapo bado kamati ya ufundi
Na hili suala unalifahamu vizuri?Kitu pekee makonda anaweza kutatua ni marinda tu.